MMU & Chit Chat ni majukwaa ya watu wasio na akili

Kama hujui kila kitu ungejua ujinga ni kawaida. Vitu vipo wazi Kwa maoni yako si lazima iwe hivyo.
naona brother unapoteza muda kujibizana na kichaa. Maana kitendo cha yeye kupost kwenye forum hii tayari anajisema mwenyewe.
 
njoo tutoe stress zetu hapa tusio na akili
Kwa kweli best nawezaje kuwa jukwaa la intelligence unasoma kitu January hadi February hakijaisha ukienda siasa usipo kuwa makini unaondoka na ban Kuna viumbe wanatia hasira mno.
 
Kwa kweli best nawezaje kuwa jukwaa la intelligence unasoma kitu January hadi February hakijaisha ukienda siasa usipo kuwa makini unaondoka na ban Kuna viumbe wanatia hasira mno.
Uko unasoma tu unapita ili kujua ulimwengu unaenda wap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom