MMU & Chit Chat ni majukwaa ya watu wasio na akili

Kwahio ulitaka kila mtu akubaliane na hiki ulichoandika? Kila binadamu ana ujinga wake labda wewe ndio binadamu unaejua kila kitu.

Mi sijataka hivo, wala haiwezi kua hivo. Mi nimesema nilichokisema slow slow unapinga vitu ambayo vipo wazi:cool:, Mi sijui kila kitu hayo maneno unayatoa wapi wewe
 
Hii ni jamii forum hivyo jamii ni mjumuisho wa watu wote hata wasio kuwa na akili vile vile watu wote hawawezi kuwa na mtazamo wa aina moja katika jamii
 
Wanasiasa uchwara, hasa hawa wanasiasa wanachuo huwa wanajihisi ndio watu wanatusaidia sana wengine tusio na mizuka na siasa. Wanajihisi wao ndio nchi inawategemea kuipeleka mbele, Ila ukitazama kwa umakini wao ndio vilaza wa mwisho.
Wacha watu tule raha, kazi na bata.
 
Siku nzima niumize kichwa kutafuta hela na mambo mengine ya maana,halafu mwisho wa siku nije kuoneshana kuwa nina akili na watu nisiowajua? Mwenye akili kutwa kushinda unabishania ulaji WA watu? Kushindana ku-quote vitabu vya watu au kusimuliana news za CNN,sky?
Hahahahah eti nashangaaga sana unakuta kimtu kinajisema eti mim nna akili sijui wenye akili wakitoka watatoka
 
Mleta mada niambie ni majukwaa gani "yenye vichwa", yaani majukwaa ambayo mtu akiingia kusoma anaona kuna akili kubwa tupu...
 
Mleta mada niambie ni majukwaa gani "yenye vichwa", yaani majukwaa ambayo mtu akiingia kusoma anaona kuna akili kubwa tupu...
Majukwaa yote yana vichwa ila hayo tajwa yamejaza vichwa maji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom