Nimefanya utafiti members wengi kwenye Jukwaa la MMU, wana msongo wa mawazo wengi wao wameachwa na wapenzi wao!
Ndio wanaamua kujifariji na kujiliwaza huko na 25% wana mahusiano ya kimapenzi.
Hongereni sana Ma All Stars wa MMU
Kama kuna mtu kanionea AshaDii naomba amwambie nampenda sana afu nimemmisi eti...........😛opcorn:
Thats my mshiki....... utanisindikiza kwenye mahari?Nimeshamwambia
Thats my mshiki....... utanisindikiza kwenye mahari?
Hawatahitaji na 'kawari' kweli? Na "maru ya mlali?"Msasha hilo la kuuliza.
umeshapeleka ''Maruva ya Kivesa''?
Mimi nitabeba nyama ya ''kisangu,,
Hawatahitaji na 'kawari' kweli? Na "maru ya mlali?"
Hahahaha na hako kawari katiwe mseseve au?Kawari na maru ya mlali ni sawa.
Kitarasa hapana.
Kama kuna mtu kanionea AshaDii naomba amwambie nampenda sana afu nimemmisi eti...........😛opcorn:
Nimeshamwambia
Thats my mshiki....... utanisindikiza kwenye mahari?
Msasha hilo la kuuliza.
umeshapeleka ''Maruva ya Kivesa''?
Mimi nitabeba nyama ya ''kisangu,,
Hawatahitaji na 'kawari' kweli? Na "maru ya mlali?"
Kawari na maru ya mlali ni sawa.
Kitarasa hapana.
Hahahaha na hako kawari katiwe mseseve au?
mbona mbege hamuitaji hapa................
Thats my another mshiki bana........ yaanini bana wakakti:Life is too short to waste time hating anyone.........una hakika haijatajwa.........?
Kama kuna mtu kanionea AshaDii naomba amwambie nampenda sana afu nimemmisi eti...........😛opcorn:
Ama kweli chi-chat ina raha zake.Mie simo.
OMG....... ulikuwa wapi siku zote?..........khaaShem ODM... Vivian wifi yangu (kwa Mentor) kanipigia simu.....
Imebidi nikimbie saaana kufika mahala hapa... and of course
your AshaDii anakupenda pia - and Oh! God... She misses you....lol
Labda ungemwambia kwa kiinglish angeweza kukuelea zaidi, au mmeshaeleana?ha ha ha .... Ulimkafu... Asprin ni shem yangu.... tumeshibana saana... raha eeeh?? lol
Ama kweli chi-chat ina raha zake.Mie simo.