Ndo matunda ya kuwaibia waajiri!
Wizi Mtupu!
Mimi simwibii mtu bana,..nimejiajiri....nabrash viatu hapo karoleni karibu na soweto garden.Ndo matunda ya kuwaibia waajiri!
Wizi Mtupu!
mbona sioni jina lako mkuu,...Bila kuzingatia mpangilio wowote,members hawa kwa uchache wamekuwa hawakoseni kwenye MMU:Hongereni.
Asha Dii
Asprin
FaizyFoxy
Prett P.
Pdiddy
IGWE
Mentor
Baba-Enock
Husninyo
Vuvuzela
B'REAL
Babu Ataka Kusema
Maisha popote
Bishanga
Dena D.
Likwanda
Vivian
1st Lady
Lizzy (banned!)
Susy
Waweza ongezea kwa wale ni liowasahau.
mbona sioni jina lako mkuu,...
kila mtu ana list yake ya favourite members.....
Bila kuzingatia mpangilio wowote,members hawa kwa uchache wamekuwa hawakoseni kwenye MMU:Hongereni. Asha DiiAsprinFaizyFoxyPrett P.PdiddyIGWEMentorBaba-EnockHusninyoVuvuzelaB'REALBabu Ataka KusemaMaisha popoteBishangaDena D.LikwandaVivian1st LadyLizzy (banned!)SusyWaweza ongezea kwa wale ni liowasahau.
Yaani umenisahau ndugu yako wa Mbeya ambaye hushinda/kulala/kuamkia Jei Efu ?
Mimi simwibii mtu bana,..nimejiajiri....nabrash viatu hapo karoleni karibu na soweto garden.
he??????????
ina maana ulimakafu na afrodenzi mtu mmoja????????/
unawaibia wateja wako, ambao ndio waajiri wako wanakuweka town kwa sh 200 hizo. ama unabrashi viatu vya farasi?