Mmmmmh..!

Mmmmmh..!

Hapa mkweere asingekenuakenua hata kidogo!
Unajua mkweere alitutapeli watz kwa staili ya kuchekacheka tukampa nchi tukiamini kuwa mambo shwari, dah mambo yanavyokwenda tumeligundua hilo!!
Mwalimu aliwaonya hamkumsikiliza
 
Hivi kwa nini huwa mna attach "thumbnail" badala ya picha kamili? namna hii:
attachment.php

Asante Faiza, lakini heri ukutane na mbogo wa Mikumi kuliko jamaa kama huyu akikasirika.
 
Nadhan huyu jamaa anatakiwa amlinde kiranja wetu ndo atakuwa serious na kazi yake!
 
Sijui tz kama kuna watu weusi kama hawa!ebu check hizo lips zilivyo

Uweusi wao ndo sababu ya waarabu kuwachinja au kuwafanya watumwa. Hongereni sana wana JF kwa kuwadhihaki watu weusi waliojikomboa kutoka kwenye minyororo ya mwarabu
 
Jamaa kapaka OIL au hahahhaha lkn akiingia IKULU huyu kumlinda Salva Kiir mpeni miezi mitatu tu mtaona shavu dodo weusi wa nyoka utakuwa anang'aa NDAMBI mlangoni hatapita huyoo ohoooo. Il a jamaa black mpaka lips jamani duuuuuu
 
Acheni ubaguzi waafrika wote ni weusi.inakuja kuanza huyu kazidi jiulize kazidi kwa vigezo gani?
 
Jamani mimi ni mweusi lakini jamaa ni MWEUSIIIIIIIIII...........kaaa
ungejua kuwa baba yake alimkataa akidai mkewe alitoka nje ya ndoa kwa kuzaa mtoto mweupe namna hiyo. kwenye ukoo wao hakuna mtu mweupe kama huyu
 
katavi muongo je yule waziri anaesinzia bungeni na huyu some nani aah
Face is nothing to the soul.
 
huyu anatakiwa kuwa kiranja mkuu wa Jkt, nahisi kikwete asikagua gwaride.
 
huyu anatakiwa kuwa kiranja mkuu wa Jkt, nahisi Jk asingekagua gwaride.
 
nadhani ni kati ya watu wachache weusi sana duniani......anaweza kuwa mshindi katika GUINESS world book of record..kwa kuwa mweusi

Kwa nini mnashangaa uweusi wa watu wa Sudan? Neno "Sudan" kwa maana yake halisi ni nchi ya watu weusi!!!

Tiba
 
yaani mweusi wanajadili weusi wa mwafrika mwenzake? what a loss, lucky you hujawahi kusemwa kwa nini we ni mweuse, sidhani kama hata ungekua na raha ya kupost picha hii, kama mtu mweusi kama obama au powel aliyekua katika utawala wa bush wanatukanwa na kuitwa sokwe, je wewe na huyo hapo wataitwaje? acheni kusupport recism, au kma mnaona ni kitu cha kawaida siku nyingine mkibaguliwa msema hakuna noma kwani hata sisis huwa tunaongelea nani mweusi zaidi, haya mambo ningeyakuta kwenye forums za mataifa ya ulaya au asia nisingesikitika, lakinini hapa?
hebu angalia hapa ngozi nyeusi isivyofagiliwa
http://www.chinasmack.com/2011/pictures/chinese-men-with-black-women-african-wives.html
 
Kwa taarifa, hii ndio sura halisi ya mwanaume. Natamani ningekuwa na uweusi kama huu. Uweusi huu ni dhahabu. Na itokee kuwa kazi anagonga vilivyo na pesa hazipigi chenga; HAKIKA hakuna mwanamke mzuri kivipi ambaye akitaka kuoa atakosa. Mwanaume kazi. Mwanaume si kuuza sura ughaibuni kama mume wa salma. Kwa sura hii ya uweusi naamini hata ukiomba ukiwa hujishughulishi wengi hawatakusaidia. Na wanaume wa sura ya *****, kazi yao kutembeza sura na domo.
 
acheni kusupport recism, au kma mnaona ni kitu cha kawaida siku nyingine mkibaguliwa msema hakuna noma kwani hata sisis huwa tunaongelea nani mweusi zaidi, haya mambo ningeyakuta kwenye forums za mataifa ya ulaya au asia nisingesikitika, lakinini hapa?

Asante mkuu
 
hivi hajajipakaa rangi kidogo huyu au ni nattural colour?
Huyu ndo mlinzi wa Rais Sava Kiir!!Mchukulie ndo angekuwa wa Kikwete,sijui kama tabasamu lingekuwepo
 
Kweli hii ndiyo sura halisi ya mwanaume wa ukweli!!
 
Back
Top Bottom