Mmmmh! Urafiki huu sijauelewa!!

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,340
0360744548076911f9bae7404681c807.jpg
 
Hawa wanyama wanaweza kuwa na akili kubwa kubwa kuliko wazungusha mikono chini ya mnazi wakingoja embe lidondoke, ona alivyomzibiti mbwa kamshika mguu wake vizuri kisha kambinua mdomo huku akimpa ushauri wa kufanya usafi wa meno.
" .... ushauri wa kufanya usafi wa meno ...." ebwanae
 
Mbona hao nyani madentist wapo sana huku town washamba hamuwez elewa
 
Back
Top Bottom