mmmh!!!!!!!!!!!!!!!!!

kaka unahusudu chuo aisee, nahc mashirt na t shirt zako zote umeziweka lebo UDSM (jokes)?
nawe ushaliona hili? Nimefatilia sana comments zake, ni miongon mwa watu wanaoiabisha UDSM, sijui alifika pale accidentally?

Mimi ni Engineer lakini nilianza kazi za Sales na sasa niko kwenye Marketing, full siasa hata kuongea nilikua sijui zaidi ya ku deal na mitambo tu lakini sasa najiona kama naongea kupita kiasi hadi nikiingia kwenye Interview, cabinet huwa inaishiwa maswali na kutoa maksi palepale. Hahaha....bongo ni noumar bora upate kile kitakachokupa mkate wako wa kila siku. Kitu muhimu usichague kuanza na position unayoitaka, kama kuna kampuni una itarget, anza hata kama kibarua then onyesha umahili wako ukiwa humo ndani utashangaa utakavyopanda haraka na kufikia lengo lako au nafasi nzuri zaidi kuliko hata nafasi uliyokua ukiiota.
umenigusa mbaya, ushaur wako unanihusu pia.

Mkuu mwenye kuintroduce hii thread kwanza pole,ila naona tatizo si kwamba kazi hakuna,ila unataka kazi Dar kama sikosei halafu refa huna na matokeo yake ndo hayo unasota benchi, ht mimi nilipomaliza chuo it was the same nikapigika 1 year akili ikanijia nikapige kokote mikoani, nina field experience ya miaka 3 sasa hata nikienda interview sina presha kama wale ambao hawana kazi kabisa, ujasiriamali si rahisi kama wengine wanavyosema sababu una challange nyingi na kama hauna capital na utayari toka moyoni itakula kwako all the best ila acha mawazo mgando ya kung'ang'ania kazi za Dar

Ndo hvyo tena akina Gairo wanaharibu na bado wanapokewa kwa mashada na mapambizo na mama zetu wako mbele wanakutanisha viganja vyao vya mikono ili kutengeneza makofi..uzeni hata magazeti kwenye vimeza ipo siku mbingu zitafunguliwa na mtaiona rehema.

hapa tanzania ishu ni ubinafsi yaani mtu hawezi kukupa nafasi ya kufanya kazi kamaa hakujui la sivyo kitu kidogo umpe ndo upate kazi mana si wanaaangalia akimpa kazi mtu baki yeye akichakachua unaweza kumtolea siri! ndo maana wanakua hawataki kumuajiri asiye wa kwake! na mtindo huu tutaendelea kua maskini mpaka mwisho wa dunia maaana mtu anaweza kazi na anavyeti ila anakuja kupewa mtu mwingine asiekua proffesional na kazi na ndio maana ufanisi na heshima ya kazi tz ziro!

kweli kuna ugumu anza hata na kupika chai na kutoa copy utapanda mbele kwa mbele
kuaNza kuuza chai??? Mtaji wa kununua sukari uko wapi?, najua unafahamu bei ya sukari ilipo!!! Kuto copy???? Umeme uko wapi?? Kilimo kila mahala climate change watu wote pia wamehamia mabondeni pia wanaharakati wa mazingira wanatisha!!!!!!!

mkuu mwenye kuintroduce hii thread kwanza pole,ila naona tatizo si kwamba kazi hakuna,ila unataka kazi dar kama sikosei halafu refa huna na matokeo yake ndo hayo unasota benchi, ht mimi nilipomaliza chuo it was the same nikapigika 1 year akili ikanijia nikapige kokote mikoani, nina field experience ya miaka 3 sasa hata nikienda interview sina presha kama wale ambao hawana kazi kabisa, ujasiriamali si rahisi kama wengine wanavyosema sababu una challange nyingi na kama hauna capital na utayari toka moyoni itakula kwako all the best ila acha mawazo mgando ya kung'ang'ania kazi za dar
hapa umenena sana hasa swala swala la mikoani!!! Hii inanikumbusha enzi nilipokuwa naanza kuomba kazi niliandika barua kumi 10 dar, bila majibu nikaanza deal za mkoani mambo ya kawa sawa nika piga mzigo miaka kama miwili nikapata kazi tena nikarudi dar!!! Taabu inakuja pale mtu anapoambiwa dar ni kila kitu, akisahau Dar si chochote kama huna kazi na pesa!!!

mkuu mwenye kuintroduce hii thread kwanza pole,ila naona tatizo si kwamba kazi hakuna,ila unataka kazi dar kama sikosei halafu refa huna na matokeo yake ndo hayo unasota benchi, ht mimi nilipomaliza chuo it was the same nikapigika 1 year akili ikanijia nikapige kokote mikoani, nina field experience ya miaka 3 sasa hata nikienda interview sina presha kama wale ambao hawana kazi kabisa, ujasiriamali si rahisi kama wengine wanavyosema sababu una challange nyingi na kama hauna capital na utayari toka moyoni itakula kwako all the best ila acha mawazo mgando ya kung'ang'ania kazi za dar
hapa umenena sana hasa swala swala la mikoani!!! Hii inanikumbusha enzi nilipokuwa naanza kuomba kazi nilandika barua kumi 10 dar, bila majibu nikaanza deal za mkoani mambo ya kawa sawa nika piga mzigo miaka kama miwili nikapata kazi tena nikarudi dar!!! Taabu inakuja pale mtu anapoambiwa dar ni kila kitu akisahau dar si chochot kama huna kazi na pesa!!!

Mi nina miaka 3 pia bana.Nina GPA YA 4.2 ya Udsm ila ukweli ni Chabo si unajua tena mambo yetu yale..Ila mpaka najilaumu kwa nini nilikua napiga chabo maana sina kitu ku-head....Sijapata kazi kwan makampun mengi hayaangalii cheti wala chuo uichosoma..Kit unandugu. Au Pesa..Na experience.

cdhan ka ulikua udsm mkuu,mayb ulikua india.

Back
Top Bottom