Mmmh Watoto wa Kihabesh Si Mchezo

For your info hakuna wanawake wakorofi kama wahabeshi, kuna ndugu yangu kaoa huko lakini shida anazopata ni mungu anajua, ni nomaaaaaaaaaaaa
Yaah ni kweli wana kiburi sana na ukorofi me Uncle wangu ameoa huko cha moto anakipata
 
Yaah ni kweli wana kiburi sana na ukorofi me Uncle wangu ameoa huko cha moto anakipata

Hata wanawake wa Ki-ongo wakorofi sana. Inategemeana na mwanamme mwenyewe na jinsi ulivyoingia wakati wa kuoa. Ukiwa f.ala hata mwanamke mpole atakuwa mkorofi tu. Mimi nashangaaga washikaji ambao wake zao wanawatunishiaga misuli,,
 
Mtoto wa mbwa hapa nina raghba na wale walio mseto wa Kilatino, Uzungu, Uhindi Wekundu, Uafrika, n.k. Ndio maana watu kama Brazameni walipoenda Brasil hawakurudi mpaka leo.
 
...Mbona sio kihiiivyo!:yawn: In fact kwenye hizo picha naona wengi ni mashangingi tu! Give me our very own WoS, bht, nyamayao, FL1 etc any day! :kiss:
 
81706_m_a28cffbb-fdf9-65dc-002c52feef65119c.jpg

Hawa Wahabeshi kwa kweli khabari yao si ndogo.
 
kharlitaclose2.jpg

Kwa wanaume wenye ugonjwa wa nywele sijui utawaambia nini kuhusu hawa Wahabeshi ili wakuelewe!.
 
...Mbona sio kihiiivyo!:yawn: In fact kwenye hizo picha naona wengi ni mashangingi tu! Give me our very own WoS, bht, nyamayao, FL1 etc any day! :kiss:

Kweli, habari haiendani na picha yenyewe maana unaongelea vitu vingi vizuri picha kama za sex workers. Kwani mitaa ya corner bar, Kinondoni nk. hizo sura hazipo? Vijitabia pia utavikuta. Ukiangalia picha za wanamziki na wacheza sinema pande mbalimbali duniani unaeweza kutukana nchi yako kumbe wala hata kina sisi wapo vile vile. Tabia na makuzi yanatofautiana. Kwa hiyo hata hapa kwetu TZ wapo wengi tu ila Mungu asipokunyooshea mkono unaweza kutanga na dunia.
 
Kwa kweli siyo siri wasichana wa kiethiopia ni wazuri sana kuna binti hapa naposoma ni mhabesh she is cute and charming. Kwa wale wakristo mnakumbuka story ya Samson na delila , nyie mwafikiri delila alikuwa wa Taifa gani? alikuwa mhabesh na akafanikiwa kumlaghai Samson kwa uzuri wake.
 
Back
Top Bottom