Mmmh Watoto wa Kihabesh Si Mchezo

Mkuu umepita pita kwa wasotho na watswana maana wale nao ni balaa. halafu pindua shingo ingia hapo kwa Kagame acha bwana hili bara limejaaliwa totoz. Yaani huwa nashindwa kuamua who are the most beautiful.
 
Bantu figure banaaaa~~~~~~,dah......acha tu.Maana tutamaliza ya kuongea.
Hispanics na Latinos...hehe....nadhani ndio maana Arizona wanapitisha Immigration Law....maana ndoa ziko hatarini sana.NBA players hawaoni na wala hawasikii.Zile ngoma zimeenda kwa shule
 
Ni kweli wahabeshi wazuri, lakini ukiwaona wabaya wao hutatamani kuwaangalia. halafu wana utamaduni wa ...., ukioa uwe tayari kwa hilo. Watz majority ni moderate
 
Qadhi hapo unalidhalilisha jina lako...

Anyway mmenipa sababu nyingine ya kwenda kuoa ethiopia....
 
Hivi uzuri mpaka nywele ziwe singa na mwanamke asiwe mweusi? Yaani anavyozidi kukaribia uarabu arabu na uzungu uzungu ndio uzuri unavyozidi kuongezeka ?

Hivi dada mbantu kama huyu si mzuri?

flaviana-bikini-2.jpg

Au?

ndo ushangae kiranga sijui wanatumia vigezo gani hawa au anamaanisha ni wazuri mbele ya macho yake tu, mie hapa sijaona kabisa mzuri wa kutisha hapo
 
Chakula kinaitwa njera/injera.kwa kweli kama hujazoea kula vitu vichachu huu msosi huwezi kula na sosi zake zina pilipili ya kufa mtu.Kuhusu uzuri zidhani kama ni wazuri kama mnavyozani,niko hapa kwa miaka nane nawajua vizuri naamini hata tz wapo warembo.Kwanza ni wachafu sana ni hizo jeans tu wanavaa mnaona warembo.mdada wiki inaisha hajaoga jamani mi sitaki hata kuwazungumzia.nawahakikishia mkikaa hapa hata kwa wiki t mtawaona ni watu wa kawaida kabisa labda kama nywele.
 
Siku zote watu huvutiwa na tofauti.....

Uzuri ni neno kubwa sana...
Tofauti ndio inatengeneza atraction
 
Kama hamjapita Eritrea basi hamjui mnachozungumzia lakini kama kweli mna macho.. hakuna kama vile vya Kimbulu!!! nendeni kule Endabash, Haydom, mtashangaa macho yenu..
 
ethiopia.jpg

Damn beautiful!
Kila mwanamke wa kihabeshi niliyepata kumjua, kumwona au kusoma nae they are simply awesome! Everyboy can become a model! Mambo ya vnasaba hayo
 
Qadhi hapo unalidhalilisha jina lako...

Anyway mmenipa sababu nyingine ya kwenda kuoa ethiopia....
Mkuu Boss ulijuaje haya majina mengine inabidi uangalie na michango unayotoa. Hapa Qadhi ingebidi utuachie sie wenyewe ahahahahaha.
 
mmh watoto wa kingoni jaman weeeeeeeeeeeeeeee wazuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuri uspime sjapata ona!!!!!!!!!!
unabisha?????/

uzur wa mtu ni specified uwez kugeneralize bwana kabila flan au taifa flan ni wazuri............au unataka unambie hakuna mbaya ata mmoja kwa waethiopia?na akuna mtanzania mzuri????????
mmh realistic z ma stance!!!!!!!!!!!:fish2:
 
Chakula kinaitwa njera/injera.kwa kweli kama hujazoea kula vitu vichachu huu msosi huwezi kula na sosi zake zina pilipili ya kufa mtu.Kuhusu uzuri zidhani kama ni wazuri kama mnavyozani,niko hapa kwa miaka nane nawajua vizuri naamini hata tz wapo warembo.Kwanza ni wachafu sana ni hizo jeans tu wanavaa mnaona warembo.mdada wiki inaisha hajaoga jamani mi sitaki hata kuwazungumzia.nawahakikishia mkikaa hapa hata kwa wiki t mtawaona ni watu wa kawaida kabisa labda kama nywele.
Mtu kwao miaka nane ni mingi sana ndio maana umewazoea hao lakini bana mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni watoto wanaita sana hata kama ni wachafu. Kwa mfano hata demu wako akiwa mzuri vp at some point unamzoea na unamuona wa kawaida kabisa. thats how it works bro/sis.
 
mmh watoto wa kingoni jaman weeeeeeeeeeeeeeee wazuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuri uspime sjapata ona!!!!!!!!!!
unabisha?????/

uzur wa mtu ni specified uwez kugeneralize bwana kabila flan au taifa flan ni wazuri............au unataka unambie hakuna mbaya ata mmoja kwa waethiopia?na akuna mtanzania mzuri????????
mmh realistic z ma stance!!!!!!!!!!!:fish2:
Acha wivu wewe. Kwani tukisema wahindi ni wabaguzi ina maana ni wahindi wote?? Kubali au kataa ila wale watoto wamejaaliwa bana.
 
Na sisi itabidi tuanze sredi ku- compare mahandsome boy wako kipande ipi hapa Africa ...
Na nyie wanaume hivi kwani sisi sio wazuri mara Eritrea mara Ethiopia ,Swana ,sijui naija Gosh
Tanzania kwa urembo Tunatisha kama hamtaki mtajiju:A S tongue:Mimi ni kisura najitambua
 
Nafikiri mtupe vigezo vya urembo wao sio kusema ni wazuri Afrika Nzima. Mlishafika KIGALI au SWAZILAND usiombe ndugu!!
 
Back
Top Bottom