Mmmh Watoto wa Kihabesh Si Mchezo

Mmmh Watoto wa Kihabesh Si Mchezo

Nilikuwa napita pita mtandaoni kuuliza maana ya neno KIHABESHI mara paap ninerushwa huku.
It has been more than 10 years, no one commented on this. Leo nimechangia kwakweli, shout out to whoever started this ila kiukweli hawa wahabeshi ni wazuri na nywele ni uzuri pia
 
Hivi uzuri mpaka nywele ziwe singa na mwanamke asiwe mweusi? Yaani anavyozidi kukaribia uarabu arabu na uzungu uzungu ndio uzuri unavyozidi kuongezeka ?

Hivi dada mbantu kama huyu si mzuri?

flaviana-bikini-2.jpg


Au?
Doooh...Bora umeuliza SWALI...

Mimi nlikua na dhana hi..nikadhani labda nitakuwa mzuri nikichubua kidogo.au nikovaa Nguo za kubana mattercore...au nikiweka mawigi...na kukonda sanaaa

Nimeachana na hayo Mambo KABISAA....Natumia bidhaa nzuri zakutunza weusi wangu...navaa mavazi ya kistara na wala SIHITAJI watu barabarani wageuke ndo niamini kuwa Mimi ni mzuri..

Najiona mzuri Sana jinsi nilivyo...Tena kuzidi hata huko nyuma
 
Hao wanawake wa kihabesha wanaosifiwa ndio hao kwenye hizo picha au kuna wengine? Mbona mi sijaona chochote cha ajabu kati ya hao?
 
Wanawake gani hao hawana ata chura
Wapo wenye chura Mkuu, unajua ukiwa Addis Ababa (Uhabeshi), moja ya swali unaloulizwa kwenye "specifications" huwa unahitaji "Bones" au "Steak"? Ndhani huyo jamaa alikuwa ni mtu wa "Bones" ndio maana akapelekwa kwa hao.
 
Wapo wenye chura Mkuu, unajua ukiwa Addis Ababa (Uhabeshi), moja ya swali unaloulizwa kwenye "specifications" huwa unahitaji "Bones" au "Steak"? Ndhani huyo jamaa alikuwa ni mtu wa "Bones" ndio maana akapelekwa kwa hao.
Ila ata hivo sijaona uspecial wao ni wakawaida sana.. wanazidiwa na wengi tu apa bongo
 
Hapo sidhani kama kunaitajika vigezo, manake mambo yote yapo wazi. Binafsi mabinti wote wa kihabeshi ambao nimeshawaona wote ni wazuri. Kuna kipindi nilikuwa pale Addis on transit to Kilimanjaro, nilihisi kama vile nimezungukwa na malaika, kwa masaa matano niliyokaa pale ilikuwa kama nipo peponi, nilijikuta nipo ndani ya mgahawa mmoja takribani masaa matatu bila kujitambua kisa tu mdada aliyekuwa anahudumu pale nilipata nafasi ya kuongea nae maneno mawili matatu. Natafuta namna nirudi kidogo pale Addis japo kwa wiki mbili manake ndo kwenye source ya uzuri. Kwa wale wanaoishi nje ya Tanzania itakuwa vigumu kuukataa ukweli kwamba awa viumbe wanatisha kwa sura na maumbile. Kwa vijana wenye nafasi na ambao hawajaoa sio vibaya wakatembelea maeneo hayo.
Siwajui kwa tabia na mengineyo ila kwa haraka haraka inaonekana ni ngumu kuwatoa kasoro, najua kuna wana JF waliobahatika ku-oa awa viumbe wanaweza kutupa data zenye ukweli.
We utakuwa ndiyo yule dk pimbi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom