Criss
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 1,959
- 3,171
mkuu inawezakana ikawa hapo ofisi/shule /etcl... sio peke yako member wa JF ... na yeye yumo humu! sijui utamjibu nini..?! nafkiri mtu yupo huru kuvaa ajisikiavyo.. na kumpiga picha umeingilia privacy yake! moja kwa moja wewe ni mtuhumiwa.
Jirekebishe
Mkuu unaweza kuta aliye i upload ndio mwenye nayo c unajua tena hawa dada zetu wanavyo penda kutudundisha mioyo yetu..2be honest mtoto yupo poa ile kiukweli tena ndio aina ya vitufe ninavyovizimiaga yaani ...kama kama kama El toro vile tehetehetehe!!!!