Mmmh KIZAZI HIKI...

Mmmh KIZAZI HIKI...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,632
Reaction score
481
Live bila chenga nilinasa tukio hili maeneo ya jiji fulani Tz...
 
Attachments

  • Photo0034.jpg
    Photo0034.jpg
    254.5 KB · Views: 679
  • Photo0035.jpg
    Photo0035.jpg
    133.9 KB · Views: 769
Si wanaona kwenye tamthilia za kimagharibi na kifilipino mkuu, usiwalaumu sana.
 
Hayo mambo hayana cha kizazi. Ni mapito ya kibinadamu tu hayo.
 
Weee ----- kweli...kwaiyo ukaona kuwapiga picha ndo solution to the problem
 
Mambo ya kawaida kwa watoto hayo maana hata hawaelewi wanalofanya...
 
Yaani hapo kama mmoja wapo ndio Binti yangu, atakula fimbo hizoooooo Balaaa.
Ila kama hicho cha kiume ndo changu nakitoa na onyo tu la mdomo. Huku moyoni nikifurahi ki-Dume nimepata,
 
kama baba na mama wanalala na watoto mpaka miaka 3 - 5 unategemea nini?
 
Jana was chatting na mshkaji, ana two kids na wote wana iPhones, 16 and 17 yrs olds. Yaani management ya hizo iPhones ni kama fbi. Anawamonitor kwa gps. Kuna siku mmoja alizima gps na baba akajua after two days, voda walihusika kusoma signal za minara na akampokonya simu 2 months. Yaani huu ulezi wake ingebidi afanye outsourcing aisee.
Mhhhhhhhh kulea watoto siku hizi kazi sana
 
Jana was chatting na mshkaji, ana two kids na wote wana iPhones, 16 and 17 yrs olds. Yaani management ya hizo iPhones ni kama fbi. Anawamonitor kwa gps. Kuna siku mmoja alizima gps na baba akajua after two days, voda walihusika kusoma signal za minara na akampokonya simu 2 months. Yaani huu ulezi wake ingebidi afanye outsourcing aisee.

Na kabla ya outsourcing inabidi kwa ajili consultant kwa ajili ya kufanya visibility study.
 
Je! Mmoja WaPo angekua mwanao ungepata muda wa kuwapiga picha? Tumia akili yako kwa usahihi bab! Kwanza una umri gani?
 
Jana was chatting na mshkaji, ana two kids na wote wana iPhones, 16 and 17 yrs olds. Yaani management ya hizo iPhones ni kama fbi. Anawamonitor kwa gps. Kuna siku mmoja alizima gps na baba akajua after two days, voda walihusika kusoma signal za minara na akampokonya simu 2 months. Yaani huu ulezi wake ingebidi afanye outsourcing aisee.

hahaaaa huyo mshikaji noumer....ila inaonekana mzee nae ana pesa ya kutosha
 
dah, mie nikionaga hizi za watoto nachefukwa. najuta hata kuangalia.
 
Kwani zamani wazee wetu walikuwa hawachezi baba na mama? Mimi mwenyewe nilikuwa napenda sana kombolela na jinsi tofauti, inatokea mnakutana mafichoni wawili tu, hapo hakuna kutoka hata mkikombolewa hakuna kutoka basio wataita mpaka wanachoka wenyewe. Hahahahaaaaaa... enzi ile tamu haitorudi kamwe.
 
Back
Top Bottom