Mmmh KIZAZI HIKI...

Mmmh KIZAZI HIKI...

Ungewaweka bakora,unakuta chumba kimoja,watu wana watt wanne,mtt ataacha kujifunza ujinga?
 
Kizazi cha .com, wanaangalia movies, tamthilia n.k wataacha kujaribisha!
 
Kwani zamani wazee wetu walikuwa hawachezi baba na mama? Mimi mwenyewe nilikuwa napenda sana kombolela na jinsi tofauti, inatokea mnakutana mafichoni wawili tu, hapo hakuna kutoka hata mkikombolewa hakuna kutoka basio wataita mpaka wanachoka wenyewe. Hahahahaaaaaa... enzi ile tamu haitorudi kamwe.

Hahahaha....nimecheka balaa...nakumbuka kwenye kombolela mshkaji alionekana mgongo kwa juu amelalia mwenzake sasa akashindwa kutoka pale asije haribu mambo.

Ikabidi amwambie jamaa aliekuwa anatafuta aondoke manake ashamuona ili wasionekane wote. Balaa sana huo mchezo!
 
Je! Mmoja WaPo angekua mwanao ungepata muda wa kuwapiga picha? Tumia akili yako kwa usahihi bab! Kwanza una umri gani?
tatizo sio angekua mtoto wake..ishu ni kwamba ameleta mada ku raise awareness ya malezi bora kwa watoto wetu...
 
Jana was chatting na mshkaji, ana two kids na wote wana iPhones, 16 and 17 yrs olds. Yaani management ya hizo iPhones ni kama fbi. Anawamonitor kwa gps. Kuna siku mmoja alizima gps na baba akajua after two days, voda walihusika kusoma signal za minara na akampokonya simu 2 months. Yaani huu ulezi wake ingebidi afanye outsourcing aisee.

duh itabidi awatafute ultimate security kwa style hiyo ya kumoniter watoto kwa gps ni noma.
 
Ndo shida ya wazaz kulala na watoto hadi miaka 6 au 7 chumba kimoja , mda mwengine kitanda kimoja! Lazima waige.
 
tusipokuwa makini miaka kadhaa ijayo haya hayatakuwa ajabu tena. Tutapishana nao njiani wakitifuana na hatutashtuka wala kuhoji.
 
Back
Top Bottom