TANZIA Mmiliki wa OnlyFans afariki dunia

TANZIA Mmiliki wa OnlyFans afariki dunia

Mwaka jana alidanja Mspanish mmoja hivi anaitwa Victoria Beatrize (sijui kama nimepatia spellings zake)

Kwa mwaka jana ukiachana na matukio ya MO29 basi huu ndio msiba ulioniuma sana.

Yule dada alikuwa hana makuu masikini ya Mungu ila kifo hiki we acha tu.
Inasikitisha sana mwaka juzi industry ilimpoteza mtoto mzuri sana wa Kihispania Sophia Leone

Mwaka jana toto la Kilatino kutoka Brazil lenye zigo kama lote Victoria Beatriz
 
Hii industry inaingiza pesa nyingi Sana, dollar billions mpaka 90 si mchezo, ni pesa nyingi Sana mjue...Wenzetu wamefanya legal, nahisi bongo wakifika hii hatua kuna watu watajitoa sadaka ili iwe ndo kazi Yao ya kudumu.
Kuna vichaa type ya kina gigy nahisi bado hawajaitambua hii ,kuna watu nawajua wako radhi kuhamia kenya kama watafahamu kiundani kuhusu hii issue.
min -me Au Bwashee unasemaje 😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom