Mmiliki wa chopa za CHADEMA

Mmiliki wa chopa za CHADEMA

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,480
Reaction score
11,688
Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.

Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.

Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
 
jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia cdm. Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi
tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala
makada wanaomiliki chopa chadema wapo,hizo tatu zinazotumika ni za mbunge wangu ndesapesa alikuwa anatusaidia pia sisi wapiga kura wake kutupeleka loliondo kwenye tiba.....chadema ina wafadhili wengi,ccm mfisadi kibao na mizigo mingi na vihiyo kama saada mkuya chakula ya mzee
 
ninavyofahamu mimi mbili ni za kukodi na moja ni ya mh ndesa pesa mbunge wa moshi mjini ametoa isaidie kwenye m4c-opd.
 
Mmiliki hata hata kama CCM haina shida!!!
tunaitaji matokeo!
 
Kwa taarifa za kuaminika kutoka chanzo ambacho nitakiweka hapa baadae ni kuwa Chopa hizi ni kuwa wapenzi matajiri/wafurukutwa na mashabiki wa ukweli wa CDM ndani nchi(4) Majiji ya Mbeya, arusha,mwana na dsm na vyama rafiki (2) afrika magharibi -Ghana (1) na Ujerumani (1) wamejitoa kwa moyo mweupe kuchangia kiasi kizuri tu cha pesa(Sitataja kwa sasa).Na kwa hakika kabisa kuwa hii ni rasharasha tu.Mchakamchaka huu ni hadi 31.10.205. Tutaendele a kujuzana
 
Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.

Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.

Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
Mmiliki ni CHIFU KIUMBE nenda kawaambie Magamba wenzako!
 
Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.

Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.

Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
Hizo chopa ni za mbunge wa moshi mjini Ndesamburo, na anazo 5.
 
Kwa taarifa za kuaminika kutoka chanzo ambacho nitakiweka hapa baadae ni kuwa Chopa hizi ni kuwa wapenzi matajiri/wafurukutwa na mashabiki wa ukweli wa CDM ndani nchi(4) Majiji ya Mbeya, arusha,mwana na dsm na vyama rafiki (2) afrika magharibi -Ghana (1) na Ujerumani (1) wamejitoa kwa moyo mweupe kuchangia kiasi kizuri tu cha pesa(Sitataja kwa sasa).Na kwa hakika kabisa kuwa hii ni rasharasha tu.Mchakamchaka huu ni hadi 31.10.205. Tutaendele a kujuzana

Mkuu mbona hiyi tarehe na mwaka tulishatokakitwmbo tuuuuuuu,na hata wewe hukuwepo wakati huo?!

Au ndio kusema kwamba chadema haina chake 2015 isipokuwa ilikiwa inawika sana miaka hiyo uliyotaja?!
 
Hizo chopa 1 ya ndesa pesa zile 2 za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA hao ndio wamiliki sasa
 
Back
Top Bottom