Nyanidume
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,411
- 1,153
chopa moja inauzwaje?
milioni moja, pia maongezi yako kama umepungukiwa kwani we una shing' ngapi?
chopa moja inauzwaje?
Moja niliyoiona mimi inamilikiwa na kampuni liitwalo Youth Aviation la Kenya.Hizo chopa 1 ya ndesa pesa zile 2 za chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA hao ndio wamiliki sasa
milioni moja, pia maongezi yako kama umepungukiwa kwani we una shing' ngapi?
Ukitaka ubaya na watu ulizia hiyo kitu........
chopa moja inauzwaje?
ninavyofahamu mimi mbili ni za kukodi na moja ni ya mh ndesa pesa mbunge wa moshi mjini ametoa isaidie kwenye m4c-opd.
Chadema watu hawaelewi! HURUHUSIWI kuhoji kitu chochote, kama ni mwanachama kaa kimya! Kama ni kiongozi ni msariti kiwe kizuri, kibaya au cha aibu! Matumizi au michango, hata ukimkuta kiongozi Yuko na mke wako wako kaa kimya usihoji, utanyang'anywa card na kufukuzwa.
Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.
Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.
Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.