OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Ni aibu sana ktk taifa tajiri lenye kila aina ya raslimali,rais hana chopa yake ya kufanyia kazi hadi aazime au atumie ya polisi au jeshi,ccm ni majizi hadi yanajiibia menyewe!
Mkuu hili jiwe mzinga wa nyuki!!!!!
Watasoma na watakuja hapa kujibu!!!!!