Ukifuatilia majibu ya hawa BAVICHA utagundua wengi wako wakisubiri CHADEMA ichukue nchi ili ahadi ya kuwa matajiri bila kujishughulisha itimie. Na wengi wao ni majobless.
moja iliazimwa na jk jana.akaenda kilosa na leo imerejea kwenye opd!
Chadema yatosha
Ukitaka ubaya na watu ulizia hiyo kitu........
Majobless ndio wapiga kura.
Tofauti na viwavi Wa lowasa wanasubiri jamaa awe raisi wapewe vitengo
1 simiyu yetu.2 msalani.3 chabruma. hawa ni majanga ya mzee wa munduli.
moja niliyoiona mimi inamilikiwa na kampuni liitwalo youth aviation la kenya.
Hzo nyingine cjui.
Lakini cha mcngi ni lengo la mabadiliko litimie!!!!!!!
Jaman wadau nimekuwa nikishuhudia ubishi huku mtaan kwetu kuhusu ni nani anamiliki chopa wanazozitumia CHADEMA.
Wengne wanasema ni za chama huku wengne wakidai ni za kukodi.
Tafadhali mwenye taarifa sahii anijuze uhalisia wa hili suala.
Kwa taarifa za kuaminika kutoka chanzo ambacho nitakiweka hapa baadae ni kuwa Chopa hizi ni kuwa wapenzi matajiri/wafurukutwa na mashabiki wa ukweli wa CDM ndani nchi(4) Majiji ya Mbeya, arusha,mwana na dsm na vyama rafiki (2) afrika magharibi -Ghana (1) na Ujerumani (1) wamejitoa kwa moyo mweupe kuchangia kiasi kizuri tu cha pesa(Sitataja kwa sasa).Na kwa hakika kabisa kuwa hii ni rasharasha tu.Mchakamchaka huu ni hadi 31.10.205. Tutaendele a kujuzana