Samahani, maana na mimi nimekosa heading inayofaa, nimebaki naduwaa. Hivi kweli hii ndio Tanzamia yetu ndio tumefikia hapa? Halafu nimeona sehemu nyingine vijana wamepigishwa gwaride wakimpokea Ridhiwani. Na kale Karidhiwani kadogo nako kapi wapi maana nimeamua kufanya collection ya hii 'royal family' kwa matumizi ya kitaaluma. (academic).