REFA WA JF
JF-Expert Member
- Jul 26, 2026
- 200
- 457
Ooh siwez deti saidia fundi ,ooh ukiniangalia mm ni mtu wakutumia kiswaswadu kama huwez kuninulia ifoni sikutaki,duh ww mkaka unanuka jasho mmh! nahisi kichechefu ebu nisogee pemben huk anashika pua!