Michepuko haizuiliki na kila mwanaume akisema atulie na mwanamke wake wanawake wengi watakosa wanaume.
Ahsante nampa pole huyo mwenza wako
Hahaha..pia unatetea uhalisia wa jina lako miss mbeya.
Hiyo ni theory tu wapo wanaume wengi tu wameoa na wametulia tuli na wanawake walio tulia ndo wanaolewa tu
Naongea ukweli Mkuu unaweza kugundua Huyu mwanaume katulia au laa kwa kuangalia hats comments zake tuu
Walewale kasoro majina
Magufuli yupi ??au yule wa Raisi wa Kuwait alikuwa Saddam Hussein,au yule anayepiga Push ups na kuweka makalio juuuuu....
hapana wazaz wangu wote, wanajiheshimu labda ambao cwajui maana na ukoo mkubwa. cjawah kuskia wakiwatakia watu wengine mabaya kama hichi kimayala hapa cjui hana kazHv kosa la muulizaji ni nini? Kumbuka hao wanawake malafa ni mama zetu! Tusi la jumla linaunganisha mama zetu dada..nk! Tuwe wastaarabu jamani!
Inategemea na akili za shoga yako... wewe ndiye unayezijua...
Ila hebu okoa hiyo ndoa aisee
Mijanaume mingine hovyo kabis[/QUO
unataka uniambie na ww hujawah kuchepuka? kwel nyniy wanawake mna wivu sana i hate you forever
😃😃😃😃😃😃 BADILI TABIA i hate you forever!!!!
Nimecheka sana
😃😃😃😃😃😃 BADILI TABIA i hate you forever!!!!
Nimecheka sana
Mtoa mada, umeonyesha kujari sana rafikiyo kutokupotezewa muda. Hata hivyo watu wengi wangependa kujua ni nini kilikusukuma kupekua/kufuatilia kumbukumbu za maisha ya jamaaa ambaye haukuwa na mahusiano nae?
Wana MMU habarini za leo,
Kuna jambo linanitatiza na kuniumi za nataka kusema lakinia naogopa mlengwa atalipokeaje jambo hilo mmh naogopa kuitwa mbeya mie maana wanawake hatunaga vifua vya kuvumilia maumivu.Nina rafiki yangu ambaye ana date na kaka flani hivi for more than a year now mkaka anaonyesha ana mcare na kujifanya yuko muwazi kwake kwa kila kitu.
Wakati wanaanza mahusiano mkaka alimwambia ukweli kuwa alikuwa anaishi na mwanamke na wamezaa ila hawakuoana na wametengana kwa muda huo kila mtu anaangalia maisha yake so my friend akaona sio mbaya coz hata yeye alikuwa single na mkaka ni kweli alimvutia wakaamua kuanza mahusiano.Shida imekuja juzi katika pekuapekua yangu ya kimitandao nimegundua yule kaka ameoa ndoa ya kanisani na still wanaishi na mkewe though mke yuko mkoa mwingine kikazi.
Evidence ninazo kuanzia picha za ndoa mpaka picha ambazo alikuwa anapiga na mkewe kipindi hiki ambacho alikuwa anaenda kumtembelea na kumuongopea shosty yuko safarini wana MMU hebu nisaidieni nifanyeje roho inaniuma coz naona kabisa shoga angu anapoteza muda ila je nikimwambia atalipokeajee? Hatoniona mimi mnafiki nataka kuwagombanisha na kuharibu furaha yao?
Maana shosti anamwamini vibaya sana huyu mkaka and kila mara anamsifia a guy is so muwazi and mkweli.
Inategemea na akili za shoga yako... wewe ndiye unayezijua...
Ila hebu okoa hiyo ndoa aisee
Mijanaume mingine hovyo kabis
Yaani hawa viumbe daah!! Kuna mwingine ni jirani yangu nae ndio hii hii type, mwanaume ameoa na yupo huku 4yrs now, huyo mkewe hajawahi kukanyaga huku so mumewe anaishi na mwanamke mwingine kama mke na wana mtoto now, huwa najiuliza "hivii huyo mwanamke anamuamini nn mumewe hata asitake kujua anakoishi?"