Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,898
Very simple, kama wewe umezipata kwa njia ya mtandao then fungua fake accounts, kisha mtumie huyo shoga yake mazagazaga yote. Kisha muachie aamue mwenyewe kusuka au kunyoa. Wewe utakuwa huna lawama tena mana taarifa atakuwa nazo .
NB Mahaba hayaingiliwi wala hayashauriki, kaa mbali utakuja kuumbuka huwezijua huyo shoga yako kafa kiasi gani kwa huyo jamaa. Unaweza ukaamua kujilipua kumwambia halafu yeye kwa jinsi alivyokolea akamwambia muhusika kuwa wewe ndio umemwambia, na pia shoga yako anaweza akaamua kuwa mchepuko wa huyo jamaa. Je hapo hujaumbuka?