Mmh sijui nimwambie! Naogopa atalipokeaje

Mmh sijui nimwambie! Naogopa atalipokeaje

Me nafikiri vzr mtumie link halafu muambie aangalie hiyo link..atapata majibu mwenyewe
 
Wana MMU habarini za leo,

Kuna jambo linanitatiza na kuniumi za nataka kusema lakinia naogopa mlengwa atalipokeaje jambo hilo mmh naogopa kuitwa mbeya mie maana wanawake hatunaga vifua vya kuvumilia maumivu.Nina rafiki yangu ambaye ana date na kaka flani hivi for more than a year now mkaka anaonyesha ana mcare na kujifanya yuko muwazi kwake kwa kila kitu.

Wakati wanaanza mahusiano mkaka alimwambia ukweli kuwa alikuwa anaishi na mwanamke na wamezaa ila hawakuoana na wametengana kwa muda huo kila mtu anaangalia maisha yake so my friend akaona sio mbaya coz hata yeye alikuwa single na mkaka ni kweli alimvutia wakaamua kuanza mahusiano.Shida imekuja juzi katika pekuapekua yangu ya kimitandao nimegundua yule kaka ameoa ndoa ya kanisani na still wanaishi na mkewe though mke yuko mkoa mwingine kikazi.

Evidence ninazo kuanzia picha za ndoa mpaka picha ambazo alikuwa anapiga na mkewe kipindi hiki ambacho alikuwa anaenda kumtembelea na kumuongopea shosty yuko safarini wana MMU hebu nisaidieni nifanyeje roho inaniuma coz naona kabisa shoga angu anapoteza muda ila je nikimwambia atalipokeajee? Hatoniona mimi mnafiki nataka kuwagombanisha na kuharibu furaha yao?

Maana shosti anamwamini vibaya sana huyu mkaka and kila mara anamsifia a guy is so muwazi and mkweli.

picha ya juzi na ya mwaka juzi zina tofautiana vipi?
 
Dada umepekua na kupeleleza utadhani unataka kuolewa ww mwenzio hana shida kalizika ww dada ni mpashikuna
 
Tumia mbinu yeyote ile ujumbe umfikie. Mfano unaweza ukazifunga hizo picha kwenye bahasha na kumpelekea shosti yako kwa kumtuma kijana tu asiyemfahamu. Weka za ndoa na hizo picha reccent. Rafiki yako ndoo atakutafuta yeye akusimulia kuhusu kijana aliyemletea picha za ajabu. ILA NA WEWE NI MTATA MPAKA PICHA UMEZIPATAJE? AU NI MTANDOA ULE ULE WA MAMBO YETU ILA KWAKO KUMETULIA?
 
Mtu si wako unapeleleza wee!, ndio nyie mnaoharibu ndoa za watu. Huko kwenye mtandao huna vitu vya msingi vya kupekua vitakavyokupatia maendeleo zaidi. Watanzania wengi ni majinga majinga tu!, midada mingi naionaga na misimu mikubwa mikubwa hakuna vitu vya msingi wanavyovifanya kwenye masimu yao. Lini mtapata akili nyie, unampekua pekua baby wa mwenzio na ww unamtaka?. Kila mtu akae upande wake na afanye yake, angekua kaja kukuomba ushauri ndio ungempasha sasa ww kihere here cha nini. Huyo wa kwako umemaliza kumpekua pekua?

Ndiyo ufanyavyo nawe? Michepuko so dili Mkuu
 
Queen Horse

nyie wanawake sa nyingne ni malafa tuu kazi kufatilia maisha ya wengine. ww unauhakika kwamba anajua kampuni yako ya wanaume na jamaa katulia zake hana mishe na mambo ya watu? kafie mbali kinyago ww nyie ndo mnaoharibu plan za watu na ndoa. ww kama hugongwi za zaid ya wanaume kumi bac hongera

Ninyi ndo vichwa vyenu vya chini vinafanyakazi kwa speed ya hali ya juu kuliko kichwa chako cha juu,yaani nakuona una michepuko km kumi hivi
 
Last edited by a moderator:
Hakuna Umuhimu wa Kumwambia iwapo Bado Anayafurahia mahusiano yao. Na kama Rafiki Yako Amekwisha ambiwa kuwa jamaa Alizaa na mwanamke mwingine na yeye akakubali, basi ni kitu ambacho hata yeye mwenyewe anakijua kuwa kuna mwenzake ambaye tayari Anawatoto. Kukubali tu kuwa mpenzi wa jamaa ni kukubali kushare mapenzi... Wewe Yapeleke lakini hujui Shoga Ako Atareact Vipi Utakapomwambia.

NB: USISAHAU KUTUPA MREJESHO WA KITAKACHOTOKEA..

maana upekuzi wako wa kimtandao kwa huyo jamaa Sikujua ulikuwa katika Lengo gani na nia ipi.

Walewale kasoro majina
 
Queen Horse

nyie wanawake sa nyingne ni malafa tuu kazi kufatilia maisha ya wengine. ww unauhakika kwamba anajua kampuni yako ya wanaume na jamaa katulia zake hana mishe na mambo ya watu? kafie mbali kinyago ww nyie ndo mnaoharibu plan za watu na ndoa. ww kama hugongwi za zaid ya wanaume kumi bac hongera

Hv kosa la muulizaji ni nini? Kumbuka hao wanawake malafa ni mama zetu! Tusi la jumla linaunganisha mama zetu dada..nk! Tuwe wastaarabu jamani!
 
Last edited by a moderator:
Mtu si wako unapeleleza wee!, ndio nyie mnaoharibu ndoa za watu. Huko kwenye mtandao huna vitu vya msingi vya kupekua vitakavyokupatia maendeleo zaidi. Watanzania wengi ni majinga majinga tu!, midada mingi naionaga na misimu mikubwa mikubwa hakuna vitu vya msingi wanavyovifanya kwenye masimu yao. Lini mtapata akili nyie, unampekua pekua baby wa mwenzio na ww unamtaka?. Kila mtu akae upande wake na afanye yake, angekua kaja kukuomba ushauri ndio ungempasha sasa ww kihere here cha nini. Huyo wa kwako umemaliza kumpekua pekua?

Walewale eee
 
Siku hizi marafiki wa kike ni nuksi kwa mashoga zao. Kama mwanzo wa ufukunyuzi si wivu kuwa amepata mwanaume rijali basi ni kuwa ataolewa kabla yake. Mara nyingi usichana huwa unapotea kwa njia hii.

Back to topic: Nadhani si vyema kukinga maji kabla hujaona dalili ya mvua. Kila kitu na wakati wake. Mapenzi ya wawili ni vyema usiayaingilie maana huenda kijana kaachana na mkewe aliye mkoa huwezi jua. Ukimya ni dawa tosha ya kufurahia maisha yako na kuchunguza ya wenzake akome kuanzia leo.

Walewale kichwa cha chin I kinachemka kwelikweli km nakuona vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom