Mmh sijui nimwambie! Naogopa atalipokeaje

Mmh sijui nimwambie! Naogopa atalipokeaje

na mm nikimwonan mume wako kesho namwambia ushenzi unaofanyaga. nimekua nikikuona mara nyingi tuu nakuvungia sasa namwambia mumeo kwamba ww unapgwa nje. halaf nione. nyie wanawake sijui mkoje yan kuingilia maisha ya wanaume hamjambo ila mkiingiliwa au ukweli ukianikwa wazi kuhusu ushenzi wenu urafik mnavunja na visasi vya kufa mtu

Haaaa kaka we ndio huyo mwenye mke nini

Umenichekesha.

kwa comment ya hapo juu inawezekana
 
Queen Horse hivi unaanzaje kuchunguza mahusiano ya watu kama hawajakuambia uwasaidie kuchunguza?
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na akili za shoga yako... wewe ndiye unayezijua...

Ila hebu okoa hiyo ndoa aisee

Mijanaume mingine hovyo kabis[/QUO
unataka uniambie na ww hujawah kuchepuka? kwel nyniy wanawake mna wivu sana i hate you forever

Eeeh kaka taratibu unatuhate forever😁😁😁
Its clear unatatizo jaribu kujitathmin na sio kutuhate forever,mabwaku...,!
 
Mchangue lowassa kesi kama hzi hazitakuwepo maana kila mtu atakuwa na ajira ya uhakika kazi za shift ukitoka kazini jioni unaingia kwenye shift ya usiku huto pata mda wa umbeya wa kupekuwa mafaili ya ndoa za watu! #mabadilikolazma

Yani unasubiri mpaka lowasa ndio akupangie shift...chaa nimechoka
Hapo ulipo wewe mwenyewe unaweza jiwekea shift ya kazi zako.. Yani unamsubiri lowasa aje akupangie how to manage your time?
 
Mtoa mada, umeonyesha kujari sana rafikiyo kutokupotezewa muda. Hata hivyo watu wengi wangependa kujua ni nini kilikusukuma kupekua/kufuatilia kumbukumbu za maisha ya jamaaa ambaye haukuwa na mahusiano nae?
 
tufunge mjadala bana. CHAGUA LOWASSA KWA MABADILIKO. huu ushenz wote uishe na ole wake atukane mtu mimi naenda kunya wallah nakwambia ntaua mtu
 
hapo tu ndo napochoka mabinti.......ungekwa mwanamke usingelkuwa na tabia hzi
 
Useme usiseme, NGUVU ya ukweli itajifunua siku moja.
 
Queen Horse

nyie wanawake sa nyingne ni malafa tuu kazi kufatilia maisha ya wengine. ww unauhakika kwamba anajua kampuni yako ya wanaume na jamaa katulia zake hana mishe na mambo ya watu? kafie mbali kinyago ww nyie ndo mnaoharibu plan za watu na ndoa. ww kama hugongwi za zaid ya wanaume kumi bac hongera

Vijana mliozaliwa gest mnajulikana tu,mama kahaba baba mtoto wa mtaani huwezi kutegemea malezi mema ya kuheshimmu wanawake.
 
Last edited by a moderator:
Mwambie huyo dada ajue, mimi kaka yangu aliwahi kumfanyia hivyo dada mmoja kila siku akawa anamuahidi hajaoa na atamuoa huku akiwa kaoa wakati akiwa na huyo dada mwisho nikamuonea huruma nikamwambia yule dada akaujua mchezo.

Mwambie kumsaidia.
 
Kwani lengo la huo upekuzi wako mwanzo lilikuwa ni lipi? Kama hukutaka kumwambia, ulichunguza ili iweje?
Siku hizi marafiki wa kike ni nuksi kwa mashoga zao. Kama mwanzo wa ufukunyuzi si wivu kuwa amepata mwanaume rijali basi ni kuwa ataolewa kabla yake. Mara nyingi usichana huwa unapotea kwa njia hii.

Back to topic: Nadhani si vyema kukinga maji kabla hujaona dalili ya mvua. Kila kitu na wakati wake. Mapenzi ya wawili ni vyema usiayaingilie maana huenda kijana kaachana na mkewe aliye mkoa huwezi jua. Ukimya ni dawa tosha ya kufurahia maisha yako na kuchunguza ya wenzake akome kuanzia leo.
 
aisee bestito ningelikuomba kukjua kwanini ulifanya upekuzi wa namna hiyo

kitu kingine shosti mwambie huyo rafikiyo kwani wanaume wa siku hizi hawaeleweki
ni waongo kuliko hata baba yao alivyokuwa mwongo kumdanganya hawa ale matunda ya kati
yaaini siku hizi imani kwao imepungua bestito mwambie tu huyo mdada asijepata shida baadaye
 
Usiseme kitu, kaa kimya. Hapana marefu yasiyo na ncha, atagundua tu siku moja.
 
Aah me hayo hayanihusu wewe, Chagua Lowassa atakomesha tabia za kuwa na michepuko!!
 
Mtu si wako unapeleleza wee!, ndio nyie mnaoharibu ndoa za watu. Huko kwenye mtandao huna vitu vya msingi vya kupekua vitakavyokupatia maendeleo zaidi. Watanzania wengi ni majinga majinga tu!, midada mingi naionaga na misimu mikubwa mikubwa hakuna vitu vya msingi wanavyovifanya kwenye masimu yao. Lini mtapata akili nyie, unampekua pekua baby wa mwenzio na ww unamtaka?. Kila mtu akae upande wake na afanye yake, angekua kaja kukuomba ushauri ndio ungempasha sasa ww kihere here cha nini. Huyo wa kwako umemaliza kumpekua pekua?
Message Delivered.Tumpekue na mtoa mada
 
Kwa nini nichepuke?
Na kuchepuka ni sifa siku hizi?
Naona watu wanajaribu kufanya kuchepuka kuonekane ni swala la kawaida la msingi. .....

Ndoa iheshimiwe na kila mtu.... wakianza na hao wanandoa wenyewe




We endelea kuni-hate tu.....

Nimependa sana hii comment with its powerful n meaningful msg.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom