Ooh Ahsante kwa upendo mpendwa, nimeshaolewa banaNimekupenda bure, vp ushaolewa?
Ooh Ahsante kwa upendo mpendwa, nimeshaolewa bana
Mtu si wako unapeleleza wee!, ndio nyie mnaoharibu ndoa za watu. Huko kwenye mtandao huna vitu vya msingi vya kupekua vitakavyokupatia maendeleo zaidi. Watanzania wengi ni majinga majinga tu!, midada mingi naionaga na misimu mikubwa mikubwa hakuna vitu vya msingi wanavyovifanya kwenye masimu yao. Lini mtapata akili nyie, unampekua pekua baby wa mwenzio na ww unamtaka?. Kila mtu akae upande wake na afanye yake, angekua kaja kukuomba ushauri ndio ungempasha sasa ww kihere here cha nini. Huyo wa kwako umemaliza kumpekua pekua?
Aaah jamani sasa ningeanzaje kumkana my paulo?Nilikuwa nasubiri hili jibu kwa hamu......
na mm nikimwonan mume wako kesho namwambia ushenzi unaofanyaga. nimekua nikikuona mara nyingi tuu nakuvungia sasa namwambia mumeo kwamba ww unapgwa nje. halaf nione. nyie wanawake sijui mkoje yan kuingilia maisha ya wanaume hamjambo ila mkiingiliwa au ukweli ukianikwa wazi kuhusu ushenzi wenu urafik mnavunja na visasi vya kufa mtuNingekuwa mimi ningemwambia tu kwa kweli, provided kuwa ushahidi upo. Hata kama atakununia, itakuwa kwa muda tu, baadaye atakushukuru. But utakuwa umesaidia future yake na utakuwa umesave ndoa ya watu. Au kama huna courage ya kumwambia directly, jipigishe story weee utafute na ka njia ka kumpeleka apite kwenye hizo picha.
Sema inategemea sana uelewa wa huyo rafiki, ila wewe mwambie tu, utakuwa umeplay part yako kama rafiki. Wakiendelea kuchepuka ni uamuzi wake. Wewe nafsi yako haitokusuta hata
We ni mnafiki sana nyoko wewe, katafute wako pia.
Hahahaahahhahahhahaahahhahahahaa yani nikimcheat my paulo, mwambie tu kwa kweli maana ntakuwa kiumbe kisicho na shukrani wala kujitambua. Hakuna kitu utakachokifanya kwa siri kisigundulike, Ipo siku ukweli utajulikana tu. Afu huna haja ya kumkasirikia atakayetoa siri zako, ona aibu kwa nini ulimtenda mkeo/ mumeo.na mm nikimwonan mume wako kesho namwambia ushenzi unaofanyaga. nimekua nikikuona mara nyingi tuu nakuvungia sasa namwambia mumeo kwamba ww unapgwa nje. halaf nione. nyie wanawake sijui mkoje yan kuingilia maisha ya wanaume hamjambo ila mkiingiliwa au ukweli ukianikwa wazi kuhusu ushenzi wenu urafik mnavunja na visasi vya kufa mtu
acha umbea fatilia maisha yako ww vp au ww mwanamke golikipa hona shughuli. acha wivu ww nahis ulikua unamtaka jamaa akakutupilia njeNdoa ipi? Ya shoga angu na huyo mkaka au ya huyo mkaka na mkewe?