Mmh Kaumbwa %

ukikitamani sana chakula unakula kidogo, hivyo mm napotezea wala sijali, ila kula yangu ni hatari shekh
 
Mambo kama haya ndio yanafanya ndugu zetu waislam wajilipue maana wakienda ahela wanakutana na mizigo kama hii 40 kwa uchache alafu wanapewa nguvu ya kutumia mizigo mia
 
PENGINE MCHINA MAANA SIKU HIZI MMMHHHH sie ni wasichana na tunajijua...

2nd no one ambaye ni % kaumbwa...Lazima utakuta kuna kasoro..pengine si yakuonekana hivi nje ipo ndani
 
uongo neno usemalo...Hakuna dini iloamrisha ujilipue...Kujiua mwenyewe kwanza ni dhambi...Subiri Mungu akuchukue kwa hiyari yake sio wewe ujiue au uuwe mwenzio...

Hao wanaojilipua ni wale waliochoka maisha kama hao panya pori au mbwa mwitu wanaanza hivyo hivyo...




Mambo kama haya ndio yanafanya ndugu zetu waislam wajilipue maana wakienda ahela wanakutana na mizigo kama hii 40 kwa uchache alafu wanapewa nguvu ya kutumia mizigo mia
 


Aiseeeee .........!!!!!!!!!!!!!

dawa yake hii hapa...kama anabisha mwambie ani PM aone mziki wa mababu....chezea MKUYATI wa ukoo wewe.
 

Attachments

  • 7.jpg
    2.7 KB · Views: 361
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…