Wengi wanatumia PCs za maofisini. Wakirudi majumbani wenye visimu vyenye intaneti unaweza ukabahatisha kuwaona hapa na pale kama netiweki haisumbui. Kama neti inasumbua basi itabidi uwasubirie hadi kesho yake wakitinga tena ofisini.
Ila kwa akina kama sisi wabeba maboksi tuko online 24/7 365/366. Teh teh teh...ngoja ninyamaze nsije nikaambiwa najidai bure....ingawa nimesema ukweli lol
wengine tunabeba magunia, Mbeya wanaita ndwika.
Wajomba wakidamkia sisi hatutakusaidia Oooh shauri yako!.Wengi wanatumia PCs za maofisini. Wakirudi majumbani wenye visimu vyenye intaneti unaweza ukabahatisha kuwaona hapa na pale kama netiweki haisumbui. Kama neti inasumbua basi itabidi uwasubirie hadi kesho yake wakitinga tena ofisini.
Ila kwa akina kama sisi wabeba maboksi tuko online 24/7 365/366. Teh teh teh...ngoja ninyamaze nsije nikaambiwa najidai bure....ingawa nimesema ukweli lol
Wajomba wakidamkia sisi hatutakusaidia Oooh shauri yako!.
Wengi wanatumia PCs za maofisini. Wakirudi majumbani wenye visimu vyenye intaneti unaweza ukabahatisha kuwaona hapa na pale kama netiweki haisumbui. Kama neti inasumbua basi itabidi uwasubirie hadi kesho yake wakitinga tena ofisini.
Ila kwa akina kama sisi wabeba maboksi tuko online 24/7 365/366. Teh teh teh...ngoja ninyamaze nsije nikaambiwa najidai bure....ingawa nimesema ukweli lol
Hapo umesema karibia na ukweli..Kwani nimesema uongo kaka?
Ni kwel i networ k sio nzuri
Wewe ndio umepotea..sisi tupo 24/7!Nimegundua ni bora watu wawepo hata kama mnagombana na kutofautiana.
Tulikuwa hapa wote tunabishana bishana jioni hii, ghafla siwaoni
Imekuwa kama vile watu wanaoishi nyumba moja halafu wanaamua kumtoroka mwenzao
sasa mie nipige story na nani?
Rudini bwana tuendelee na hizi porojo
Ila kwa akina kama sisi wabeba maboksi tuko online 24/7 365/366. Teh teh teh...ngoja ninyamaze nsije nikaambiwa najidai bure....ingawa nimesema ukweli lol
Mbona NN unankimbia? Mwita tayar ameshalalaNgoja nisepe nsije ambiwa nina madharau bure.
Tunaambizana ya kiongo ongo hamna ya kikweli kweli.
Au wewe hukupitia kombolela, tufanyeni ya kinguo nguo
Ahahahahahaaaaaa umenirudisha mbaaaali sana Kongosho. Ya kinguo nguo nimefanya sana. Nilikuwaga na mchumba wangu mmoja hivi anaitwa Nshoma. Basi kwenye kombolela lazima mimi na yeye tukajifiche pamoja kwenye pagale/ jumba bovu.
Daaaah we ni noumer! You took me down memory lane.
Ngoja nimalizane na wewe hapa kwanza halafu ndio niende kule!Kule kwenye pombe mbona hujanijibu shutuma nlizokupa?
Ahahahahahaaaaaa umenirudisha mbaaaali sana Kongosho. Ya kinguo nguo nimefanya sana. Nilikuwaga na mchumba wangu mmoja hivi anaitwa Nshoma. Basi kwenye kombolela lazima mimi na yeye tukajifiche pamoja kwenye pagale/ jumba bovu.
Daaaah we ni noumer! You took me down memory lane.
Afu wewe sio nanii kweli maana huyu Nshoma alikuwa anapenda kweli kombolela na kila siku alikuwa anapotea na mtu huyo huyo
Sitaki kabisa tujuane, kama ni wewe!?