JF Member
Platinum Member
- Dec 14, 2014
- 8,435
- 11,983
Misiri ndiko tunaenda sasa.Usiturudishe Misri tafadhali
Yaani tunatoka Kanani tunaenda Misiri, naona baada ya miaka 400 ndipo tutakapo kombolewa tena.

siku anaapishwa tu nikajua hapa tumevamiwa..... ati anakimbilia hazinaMzalendo halisi... hapo ndio heshima yangu kwa mama Samia ilipoanzia...... amani ku moyo.... mengine yatakuja tu... Mungu ametuhakikishia kila jambo lina wakati wake....
yaani enzi zile nilibaki kuwa msomaji wa jf tu na kulike tu. Hali ile ingeendelea hata kwenda makazini tusingekwenda au ingekuwa tunapopanda macasi hakuna kuzungumza, maana ka,a ktk mwendo kazi, inadaiwa kulikuwa mapandikizi kibao yanajifanya abiria na yanaanzisha mijadala ya kumponda mwenda zake ili washua muingie 18 zaoAmini nawaambieni kama awamu ya tano ingeendelea hadi leo hakuna ambaye angepata auheni ya maisha.
Muone Mexence awamu ile alivyopata misukosuko kutwa kucha mahakamani leo sero kesho wapo nyumbani mlangoni wakiwatafuta wahusika wa JF.
Labda siku moja Mello atusimulie jinsi wahusika wa Jamii forums walivyokuwa wanasakwa nyumbani kwake akilazimishwa awataje kwa majina na wapi mnapoishi.
Serikali ilibuni mbinu zote hadi kulazimisha mitandao ya kijamii Kusajiliwa na TCRA hata makali ya JF yalipungua siri nyeti zikawa hazifiki humu kutokana na sheria ya habari na ile ya mawasiliano.
Ukweli ni kwamba hizi kelele kama Rais Samia angekuwa na roho ile hakuna ambacho tungefanya kama alivyofanya Meko.
Meko hakuipenda mitandao ya kijamii hata kidogo, aliichukia JF kuliko umasikini, tumshukuru sana Mello kutokuwa dhaifu kama angekubali kutoa server nusu ya watumiaji humu mngekuwa mapengo kama si vibogoyo.
Ilikubidi Ili uwe whistleblower ilikupasa uwe nje ya nchi ndipo uiseme Serikali vinginevyo Jela na kesi ya uhujumu uchumi ingekuhusu remember Tito Magoti.
Awamu ya sita tunapumua wote tuna midomo mirefu kama chupa kila siku lawama. Samia atapita atakuja mwingine wa kuwabana makende ndiyo mtaanza kumkumbuka. Uzuri wa Samia kama Kikwete matusi ya kila aina akaenda zake kawaachia Meko.
Awamu ya sita tunapumuaaaa, Asante kwa kuheshimu Uhuru wa vyombo vya habari.
siyo rahisi. utakwenda peke yakoMisiri ndiko tunaenda sasa.
Yaani tunatoka Kanani tunaenda Misiri, naona baada ya miaka 400 ndipo tutakapo kombolewa tena.
Unatumbukia tu wewe, sasa hivi ukiamka huna uhakika wa umeme wala maji. Hapo bei za umeme juu.siyo rahisi. utakwenda peke yako
mvua zitanyesha. mbona hata wakati wa magu 2017 hali ilikuwa mbaya ni vile watu walikuwa waoga wakisema ukweli wanashughulikiwa? watz wepesi wa kusahau sanaUnatumbukia tu wewe, sasa hivi ukiamka huna uhakika wa umeme wala maji. Hapo bei za umeme juu.
Serikali imelalaaaa.
Kazi ipo.
Kazi ya Serikali ni ipi?mvua zitanyesha. mbona hata wakati wa magu 2017 hali ilikuwa mbaya ni vile watu walikuwa waoga wakisema ukweli wanashughulikiwa? watz wepesi wa kusahau sana
serikali ipi? do we have any?Kazi ya Serikali ni ipi?
Kwahiyo tufurahie mateso mapya kwakuwa yale yaliyokuwepo yameisha si ndio?Amini nawaambieni kama awamu ya tano ingeendelea hadi leo hakuna ambaye angepata auheni ya maisha.
Muone Mexence awamu ile alivyopata misukosuko kutwa kucha mahakamani leo sero kesho wapo nyumbani mlangoni wakiwatafuta wahusika wa JF.
Labda siku moja Mello atusimulie jinsi wahusika wa Jamii forums walivyokuwa wanasakwa nyumbani kwake akilazimishwa awataje kwa majina na wapi mnapoishi.
Serikali ilibuni mbinu zote hadi kulazimisha mitandao ya kijamii Kusajiliwa na TCRA hata makali ya JF yalipungua siri nyeti zikawa hazifiki humu kutokana na sheria ya habari na ile ya mawasiliano.
Ukweli ni kwamba hizi kelele kama Rais Samia angekuwa na roho ile hakuna ambacho tungefanya kama alivyofanya Meko.
Meko hakuipenda mitandao ya kijamii hata kidogo, aliichukia JF kuliko umasikini, tumshukuru sana Mello kutokuwa dhaifu kama angekubali kutoa server nusu ya watumiaji humu mngekuwa mapengo kama si vibogoyo.
Ilikubidi Ili uwe whistleblower ilikupasa uwe nje ya nchi ndipo uiseme Serikali vinginevyo Jela na kesi ya uhujumu uchumi ingekuhusu remember Tito Magoti.
Awamu ya sita tunapumua wote tuna midomo mirefu kama chupa kila siku lawama. Samia atapita atakuja mwingine wa kuwabana makende ndiyo mtaanza kumkumbuka. Uzuri wa Samia kama Kikwete matusi ya kila aina akaenda zake kawaachia Meko.
Awamu ya sita tunapumuaaaa, Asante kwa kuheshimu Uhuru wa vyombo vya habari.
Kwahiyo tufurahie mateso mapya kwakuwa yale yaliyokuwepo yameisha si ndio?
yaani enzi zile nilibaki kuwa msomaji wa jf tu na kulike tu. Hali ile ingeendelea hata kwenda makazini tusingekwenda au ingekuwa tunapopanda macasi hakuna kuzungumza, maana ka,a ktk mwendo kazi, inadaiwa kulikuwa mapandikizi kibao yanajifanya abiria na yanaanzisha mijadala ya kumponda mwenda zake ili washua muingie 18 zao
Inategemea huo Umeme na maji unakaa mkoa gani. Hapa Bukoba tunaona kama ni kelele mnaleta tu.Unatumbukia tu wewe, sasa hivi ukiamka huna uhakika wa umeme wala maji. Hapo bei za umeme juu.
Serikali imelalaaaa.
Kazi ipo.
Huu ni ubunasi sasaInategemea huo Umeme na maji unakaa mkoa gani. Hapa Bukoba tunaona kama ni kelele mnaleta tu.
Acheni kumtukuza Magufuli kiasi hicho. Huo ndiyo uchuro uliosababisha akafa. Akina Kabudi walimuita Mheshimiwa mungu.Mipango ya serikali ni ipi sasa kama kidogo tu nchi nzima inalia.
Wakati wa JPM haya yote hayakuwepo, ila wauza maji ya vidumu walihamia kwenye bodaboda.
NonsenseAmini nawaambieni kama awamu ya tano ingeendelea hadi leo hakuna ambaye angepata auheni ya maisha.
Muone Mexence awamu ile alivyopata misukosuko kutwa kucha mahakamani leo sero kesho wapo nyumbani mlangoni wakiwatafuta wahusika wa JF.
Labda siku moja Mello atusimulie jinsi wahusika wa Jamii forums walivyokuwa wanasakwa nyumbani kwake akilazimishwa awataje kwa majina na wapi mnapoishi.
Serikali ilibuni mbinu zote hadi kulazimisha mitandao ya kijamii Kusajiliwa na TCRA hata makali ya JF yalipungua siri nyeti zikawa hazifiki humu kutokana na sheria ya habari na ile ya mawasiliano.
Ukweli ni kwamba hizi kelele kama Rais Samia angekuwa na roho ile hakuna ambacho tungefanya kama alivyofanya Meko.
Meko hakuipenda mitandao ya kijamii hata kidogo, aliichukia JF kuliko umasikini, tumshukuru sana Mello kutokuwa dhaifu kama angekubali kutoa server nusu ya watumiaji humu mngekuwa mapengo kama si vibogoyo.
Ilikubidi Ili uwe whistleblower ilikupasa uwe nje ya nchi ndipo uiseme Serikali vinginevyo Jela na kesi ya uhujumu uchumi ingekuhusu remember Tito Magoti.
Awamu ya sita tunapumua wote tuna midomo mirefu kama chupa kila siku lawama. Samia atapita atakuja mwingine wa kuwabana makende ndiyo mtaanza kumkumbuka. Uzuri wa Samia kama Kikwete matusi ya kila aina akaenda zake kawaachia Meko.
Awamu ya sita tunapumuaaaa, Asante kwa kuheshimu Uhuru wa vyombo vya habari.
Ni afadhali aliyefanya wasomi kuwa machinga kuliko aliyewarudisha wasomi nyumbani hawajui wafanye niniMachinga walikuwa wengi mpaka kero. Jpm alichokiweza ni kuwafanya wasomi wote wawe machinga
Nani msomi kwa sasa Yuko mtaani wakati ajira zimejaa bwerere kabisa kila sehemu ajira zinamwagwaNi afadhali aliyefanya wasomi kuwa machinga kuliko aliyewarudisha wasomi nyumbani hawajui wafanye nini
Mnajitoaga ufahamu sijui mnapata faida ganiNani msomi kwa sasa Yuko mtaani wakati ajira zimejaa bwerere kabisa kila sehemu ajira zinamwagwa
chawa wewe.Amini nawaambieni kama awamu ya tano ingeendelea hadi leo hakuna ambaye angepata auheni ya maisha.
Muone Mexence awamu ile alivyopata misukosuko kutwa kucha mahakamani leo sero kesho wapo nyumbani mlangoni wakiwatafuta wahusika wa JF.
Labda siku moja Mello atusimulie jinsi wahusika wa Jamii forums walivyokuwa wanasakwa nyumbani kwake akilazimishwa awataje kwa majina na wapi mnapoishi.
Serikali ilibuni mbinu zote hadi kulazimisha mitandao ya kijamii Kusajiliwa na TCRA hata makali ya JF yalipungua siri nyeti zikawa hazifiki humu kutokana na sheria ya habari na ile ya mawasiliano.
Ukweli ni kwamba hizi kelele kama Rais Samia angekuwa na roho ile hakuna ambacho tungefanya kama alivyofanya Meko.
Meko hakuipenda mitandao ya kijamii hata kidogo, aliichukia JF kuliko umasikini, tumshukuru sana Mello kutokuwa dhaifu kama angekubali kutoa server nusu ya watumiaji humu mngekuwa mapengo kama si vibogoyo.
Ilikubidi Ili uwe whistleblower ilikupasa uwe nje ya nchi ndipo uiseme Serikali vinginevyo Jela na kesi ya uhujumu uchumi ingekuhusu remember Tito Magoti.
Awamu ya sita tunapumua wote tuna midomo mirefu kama chupa kila siku lawama. Samia atapita atakuja mwingine wa kuwabana makende ndiyo mtaanza kumkumbuka. Uzuri wa Samia kama Kikwete matusi ya kila aina akaenda zake kawaachia Meko.
Awamu ya sita tunapumuaaaa, Asante kwa kuheshimu Uhuru wa vyombo vya habari.
wewe siyo chawa tena, bali kunguni.Nani msomi kwa sasa Yuko mtaani wakati ajira zimejaa bwerere kabisa kila sehemu ajira zinamwagwa