General Nguli
JF-Expert Member
- Apr 22, 2022
- 1,287
- 2,664
Tena ukimsogelea kwa karibu huyu mtu unahisi aliingia kwenye 18 za Mwamba wa ChatoWapumbavu kama nyinyi majibu yenu huwa nimepesi kama kama povu la omo,,wewe mbona hujafa mpaka sasa.
Tena ukimsogelea kwa karibu huyu mtu unahisi aliingia kwenye 18 za Mwamba wa ChatoWapumbavu kama nyinyi majibu yenu huwa nimepesi kama kama povu la omo,,wewe mbona hujafa mpaka sasa.
Alisema akili ni nywele kila mtu na hakukosea, utakuta mtu anaongea kama kashikiwa kisu pembeniMnajitoaga ufahamu sijui mnapata faida gani
Tena mwenye mabawa kama ya Kobe.chawa wewe.
Angefanya Maombi ya nchi nzima.Acheni kumtukuza Magufuli kiasi hicho. Huo ndiyo uchuro uliosababisha akafa. Akina Kabudi walimuita Mheshimiwa mungu.
Leo kwani Magufuli angefanya nini kwenye ukame huu?
Unatafutaje Hela wakati mchana mzima hakuna umeme au tuanze kukaba tena mchana kweupe.Bora umeamka salama, ingekuwa awamu ile ungeamkia kuzimu kama siyo jera. Pia tafuta pesa ili bei ya mchele isiwe ishu kwako