Mmepata furaha na amani awamu ya 6

Mmepata furaha na amani awamu ya 6

Wakati unaandika hayo ukumbuke kuna mwana mboga mboga amepigwa mvua Saba na faini ya mamilioni juu kosa lisilo kuwepo,

katika kipindi hiki unakiona cha neema kuna wengine wanaona wako kuzimu na kipindi kilichopita kuna ambao waliishi kama nchi ni yao, na kwa bahati mbaya Sana kwake ameingia Dunia ikiwa kwenye mgogoro mkubwa wa kiuchumi
 
Hakuna wa kutubana mapumbu kudadeki Mello hawezi kubali mm nbanwe pumbu.
 
Amini nawaambieni kama awamu ya tano ingeendelea hadi leo hakuna ambaye angepata auheni ya maisha.

Muone Mexence awamu ile alivyopata misukosuko kutwa kucha mahakamani leo sero kesho wapo nyumbani mlangoni wakiwatafuta wahusika wa JF.

Labda siku moja Mello atusimulie jinsi wahusika wa Jamii forums walivyokuwa wanasakwa nyumbani kwake akilazimishwa awataje kwa majina na wapi mnapoishi.

Serikali ilibuni mbinu zote hadi kulazimisha mitandao ya kijamii Kusajiliwa na TCRA hata makali ya JF yalipungua siri nyeti zikawa hazifiki humu kutokana na sheria ya habari na ile ya mawasiliano.

Ukweli ni kwamba hizi kelele kama Rais Samia angekuwa na roho ile hakuna ambacho tungefanya kama alivyofanya Meko.

Meko hakuipenda mitandao ya kijamii hata kidogo, aliichukia JF kuliko umasikini, tumshukuru sana Mello kutokuwa dhaifu kama angekubali kutoa server nusu ya watumiaji humu mngekuwa mapengo kama si vibogoyo.

Ilikubidi Ili uwe whistleblower ilikupasa uwe nje ya nchi ndipo uiseme Serikali vinginevyo Jela na kesi ya uhujumu uchumi ingekuhusu remember Tito Magoti.

Awamu ya sita tunapumua wote tuna midomo mirefu kama chupa kila siku lawama. Samia atapita atakuja mwingine wa kuwabana makende ndiyo mtaanza kumkumbuka. Uzuri wa Samia kama Kikwete matusi ya kila aina akaenda zake kawaachia Meko.

Awamu ya sita tunapumuaaaa, Asante kwa kuheshimu Uhuru wa vyombo vya habari.
Nchi yote saizi ingekuwa kibra na alivyokuwa na kiburi na jeuri yule jamaa tungekoma.
 
Una furushi la uharo limekaa sehemu ya medulla
 
Timu jiwe na mavi ni marafiki sana, ndiyo mlifurahi matusi kumdhalilisha Mwananchi kwa kumwambia Mwananchi abaki na mavi yake kama anaona mia tano kulipia choo ni kubwa.
 
Bora umeamka salama, ingekuwa awamu ile ungeamkia kuzimu kama siyo jera. Pia tafuta pesa ili bei ya mchele isiwe ishu kwako
Hao wanaccm ukiwasikia walivyokuaa wanajigamba huwezi amini kama ni hawa hawa hawana hata uwezo wa kuchimba visima nyumbani kwao wakapata maji full time.
 
Mmoja wapo ni mimi, kwakweli mimi nna amani sana yani nlikua najiona kama nipo ukimbizini.....nna amani sana hata hizi shida mnazozisema sijui maji sijui umeme mi sizioni bora nilale gizani ila nna amani
 
Back
Top Bottom