MELCKI
New Member
- May 27, 2017
- 2
- 0
Baada ya kuchunguza kwa makini nimegundua mambo yafuatayo:
PICHA YA KWANZA
Kuna wa mama 6 wajawazito wamejishika chini ya tumbo kwa mpangilio huu.
STAILI WALIYO TUMIA KUJISHIKA CHINI YA TUMBO
MISHONO YA NGUO ZAO
PICHA YA KWANZA
Kuna wa mama 6 wajawazito wamejishika chini ya tumbo kwa mpangilio huu.
STAILI WALIYO TUMIA KUJISHIKA CHINI YA TUMBO
- Mwenye nguo nyekundu amejishika kwa staili sawa na aliye vaa nguo ya blue bahari
- Mwenye nguo pinki amejishika kwa staili sawa na aliye vaa nguo ya orange
- Mwenye nguo kijani amejishika kwa staili sawa na aliye vaa nguo ya blue
- Mwenye nguo nyekundu anaurefu sawa na aliye vaa nguo ya pinki
- Mwenye nguo njano anaurefu sawa na aliye vaa nguo ya blue
- Mwenye nguo kijani anaurefu sawaa na aliye vaa nguo ya blue bahari
- Mwenye nguo nyekundu ana nywele zenye rangi sawa na aliye vaa nguo ya kijani
- Mwenye nguo njano ana nywele sawa na aliye vaa nguo ya blue
- Mwenye nguo pinki ana nywele sawa na aliye vaa nguo ya blue bahari
- Magauni waliyo vaa yote ni marefu yanafunika miguu lakini ukiangalia vizuri kwa upande wa juu tofauti ni gauni moja tu la mama aliye vaa gauni la kijani ambalo linafunika mabega lakini yaliyo bakia yote yanaacha mabega wazi
MISHONO YA NGUO ZAO
- MAMA aliye pakata mtoto aliye vaa nguo ya blue amevaa suruali tofauti na wamama wenzake wote.
- Kina mama walio vaa magauni meupe yote yanakomea juu ya magoti isipokuwa mama aliye pakata mtoto aliye vaa nguo ya njano ambaye gauni lake linavuka magoti ukitoa na aliye vaa suruali.
- Mama aliye pakata mtoto aliye vaa nguo ya rangi ya blue ,mkono wa kushoto ameuweka katikati ya miguu ya mtoto na wa kulia katika kifua cha mtoto wake sawa sawa na mama aliye pakata mtoto aliye vaa nguo ya rangi ya njano ila tofauti ni arrengement ya mikono yaani huyu mkono wa kulia amewekakatikati ya miguu ya mtoto na wa kushoto ameweka kakati kifua cha mtoto wake
- fore more analysis unaweza kuangalia arrengement ya wa mama hao katika kupakata watoto hao ila tofauti inakuja kwenye mpangilio wa mikono yao katika kuwakamata watoto wao.mfano mzuri angalia mtoto aliye vaa nguo ya green na blue bahari jinsi walivyo pakatwa ni the same ila tofauti ni mpangilio wa mikono ya mama walio wapakata,pia tazama mama wa kwanza(bonge) na anaye mfuatia wamewapakata watoto wao kwa staili sawa ila tofauti ni mpangilio wa mikono yao katika kuwapakata hao watoto.
- Mtoto mwenye nguo ya njano na green wote wana nyonya vidole tofauti na wengine
- Mtoto mwenye nguo ya pinki na aliye vaa nguo ya blue bahari wote mkono wa kushotowameuweka kwa pozi sawa katika mkono wa kushoto wa mama zao the same applies kwa watoto walio vaa nguo ya njano na nyekundu
- Kwa ujumla tofauti na mfanano katika picha hizo ni nyinga sana ukichunguza taratibu ingawa inayo weza kuonekana kwa urahisi ni mpangilio wa mavazi ya wakina mama wakiwa wajawazito kuendana sawa sawia na mavazi ya kina mama hao baada ya kujifungua laini angalia kwa makini mama wa tatu kutoka mwisho vazi lake akiwa mjamzito na la mtoto wake baada ya kujifungua je yana fanana? so observe carefull thank u.