Mmegundua nini kwa hii pic

Mmegundua nini kwa hii pic

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
IMG-20170513-WA0034.jpg
 
Nmegundua kwamba waligonganisha vikojoleo hatimaye wakavimba matumbo sasa hivi wamejifungua
 
Kuna mama mmoja siyo mjamzito alafu chini no mjanzito lakini anamtoto mchanga
 
Hao wamama possibly ni lesbians na wamezaa watoto wa kiume.. Sababu ni rangi ya magauni yao walivoipangilia inafanana ma bendera ya LBGT
 
Ukubwa wa mwili sio ukubwa wa mtoto utakayemzaa ndio maana watoto wanaumbo linalolingana licha ya wazazi kutofautiana kimaumbile
 
Back
Top Bottom