Mmegundua nini kwa hii pic

Mmegundua nini kwa hii pic

Wamewashika watoto huku wameshukilia nyeti za watoto wao
 
Nguo za watoto zimefanana na za mama zao wakati ni wajawazito.
 
Ukiwaangalia sana hao watoto ni kama toys. Au sijui kwasababu midoli mingi ni ya kizungu! We wakodolee kwa nusu dakika utaniambia.
 
Back
Top Bottom