Mme wangu si mwaminifu hata kidogo anatembea na mfanyakazi mwenzake ambaye ni subordinate wake. Nimemvumlia nikijua atajirekebisha lakini naona ndo kabisa hadi safari za kikazi wanaongozana wote. Kibaya zaidi huyo mwanamke alishatembea na rafiki wa mme wangu. Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
Mme wangu si mwaminifu hata kidogo anatembea na mfanyakazi mwenzake ambaye ni subordinate wake. Nimemvumlia nikijua atajirekebisha lakini naona ndo kabisa hadi safari za kikazi wanaongozana wote. Kibaya zaidi huyo mwanamke alishatembea na rafiki wa mme wangu. Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
akikuomba 0713 unamwambia huyo hawara amlete tu nyumbani...mume mpenda tigo hafai kwa matumizi ya binadamu kwa kweli. wacha iwe mbayaPole my dear,naelewa uko kwenye situation gani,kwakweli inaumiza sana lkn kumbuka kila lenye mwanzo lina mwisho wake,mwanamme kucheza mechi za nje ni yule asiye na heshima na mkewe,najua wengiiiiii wanazicheza lkn wengi wao hao wenye mapenzi na familia zao hujutia sanaaaaa baada ya mechi hizo,na wa dizaini hii huwa hawataki kabisa wake zao wapate habari yyte kuwa mumewe anakamua nje,ila wale wasio na adabu ndo utawaona kama huyo mumeo mpaka ww unajua,kiukweli mm kama ni mume wangu aliyenipenda nikampenda,aliyeniheshimu nikamuheshimu niliyempata kiuhalali(sio njia za panya)UGANGA/UCHAWI,nitamuuliza taratiiiibu tena tukiwa sehemu tofauti na nyumbani ntalipia hotel kabisaaaa,nimuulize huwa anavutiwa na nn kutoka kwangu,anapenda nimfanyie nn,namkwaza kwa yapi?nitamuhaidi kujirekebisha,lkn kama kuna mambo atayotaka nimfanyie lkn yapo nje ya uwezo wangu like(TIGO)nitamuelewesha madhala ya huduma hiyo kupitia vitabu vya dini kuwa imepigwa marufuku,najua itamchukua muda kuukubali ukweli lkn mwisho wa cku na kwa kumshirikisha Mungu atabadilika tu,time heals,ila yoooote haya nitamuhoji baada ya kuwa nimempa tamu yake na kinywaji akipendacho,nadhani umenisoma
Wewe mwisho wako ni mbaya,utakumbana na Israeli kabla ya siku zakondugu yangu wanaume wasikuhizi wako hivyo huwezi kupata mwanaume wa peke yako cha msingi tafuta wa nje na wewe ujitulize zako akhhhaaa.....
mzabzab hivi umeoa?hiyo ndio ndoa bibie...wanawaume kugegeda wanawake ni nature yetu sasa kubali yaishe.
kuhusu mume kugegeda demu ambaye rafiki yake ameshagegeda, hiyo ni competition tuu wanaume huwa tunatambiana.... ikiwezekana kama vipi mpanulie best frend wa mume akugegede na wewe
waache wakichoka wataacha ,
wewe si anakujali bwana,hakuna mwanaume alotulia duniani
kula share yako ukishiba lala ,utakufa pressure bure
si anakuhudumia bwana kula kipande chako lala ndugu yangu
ila umuombee tu huyo pepo atoke Mungu tu ndo anaeweza kumbadilisha..kwa nguvu zako utoweza
najua itamchukua muda kuukubali ukweli lkn mwisho wa cku na kwa kumshirikisha Mungu atabadilika tu,time heals,ila yoooote haya nitamuhoji baada ya kuwa nimempa tamu yake na kinywaji akipendacho,nadhani umenisoma
hahaha, kweli kuwa mwanamke adhabu. Yaani the bastard cheats on me despite my serving him diligently like the master, nalipia na hotel, nampa tamu 'yake' wakati tamu 'yangu' ni ya wote, namnunulia na kinywaji na chakula, namuuliza taratiibu? Hahahaha, yaani hilo vumbi lake, kumuacha ndo itakuwa the best favour he has ever received from me. Ila kama namsamehe, he will be looking over his shoulder for the rest of his life, kwanza kuhakikisha simuoni lakini pili kuhakikisha i aint up to no good!
shangaa na wewe. Umlipie na hotel, huko nyumba ndogo akienda yeye si ndo analipia hotel. Kama yeye gwiji ana uwezo wa kumiliki wanawake kadhaa mjini, why nit miliki na mie? My foot! Yaani mwanamke anakuwa groomed na makungwi awe mnyonge na akandamizwe haswaa. Inatakiwa unatimua vumbi hata akiwa na hawara anamuambia wife ni kichaa, ukimess tu atanichinja. Ebooo!King'asti weee kuna wenzio wana moyo....uwiiiiiiiii kwanza hata kumpa 'utamu' utawezaje? Hapo nyongo ishatema uwiiiiiiiiiii
hiyo ndio ndoa bibie...wanawaume kugegeda wanawake ni nature yetu sasa kubali yaishe.
kuhusu mume kugegeda demu ambaye rafiki yake ameshagegeda, hiyo ni competition tuu wanaume huwa tunatambiana.... ikiwezekana kama vipi mpanulie best frend wa mume akugegede na wewe