Kha...nazimia tena!
Kha...nazimia tena!
Ndio maana hata Masiha atakaporudi kuchukua walio wake hataikanyaga dunia hii ila atawanyakua juu kwa juu nakuondoka nao,hii sehemu tunayoishi iitwayo dunia imeshajaa laana za kila aina..na huwa siku zote namsifu Mungu kwa uvumilivu alio nao kwa wanadamu...
ukizinduka... utazimia tena au??