halafu mke wa John naye akiokoka awe anaitikia...."nibembeleze bwana,nishike mkono"usiachie.Pasta akamjibu ' si afadhali mkeo anasemaga hivyo, kabla hajaokoka alikuwa anasema matusi hadi naona kama ni dhambi kuliko uasherati ninaofanya nae. Mke wa John yule mkurugenzi serikalini nae inabidi nimshawishi aokoke.'
[/QUOTE]Bora kuliko amuambie 'hicho kiatu kivueee', wataishia na mimba hapo!
QUOTE=Excellent;4166492]halafu mke wa John naye akiokoka awe anaitikia...."nibembeleze bwana,nishike mkono"usiachie.
[h=6]Mme anamlalamikia pasta, "Tangu mke wangu awe mlokole ananikera sana wakati wa kushiriki tendo la ndoa maneno yake ya mapenzi yamekuwa 'ooh haleluya, asante simba wa yuda, thank u alfa na omega, woow! sweet mwanakondoo! ooh! mwokozi nibebe, nibembeleze baba! nipe vyote bwana wangu,Asante kristo, nipe vitu mwokozi, nipeeee e bwana".[/h]
hahahaha unaogopa kumwambia ukweli?Umenifurahisha sana, nimemuonyesha uzi huo mke wangu amecheka sana...kwikwikwikwiwkwiwkwiwkwiwkwiwiiiiii
Unajua ni kwanini? Usiku alininunia eti kwa sababu wakati nimelala alisema nilikuwa nataja jina la bikira Maria halafu nikawa nashikashika cheni yake ya kiunoni kwa mtindo wa kuhesabu. Nilipojaribu kujitetea kwamba nilikuwa naota nikisali rozali hakunielewa.