Yeye ndiyo chanzo. Asingemtongoza huyo binti, mambo yasingefika hapa. Mume na mke wote wana makosa. Kuna ndoa zingine, zilishajifia kabla hata mtu wa kuja kuziua.

Hii salamu najibuje? Salama kabisa mzee wa Kigamboni. Mnamtetea mwanaume mwenzenu eeh? Huyo mume asiyejua kufunga zipu yake nje, ndiyo chanzo cha yote. Anajua mkewe mwehu why anakit*mbesha nje?

Kwahiyo binti anashutumiwa kulala na gogo? Kisheria hayupo kwenye kesi. Hapa anauliza mume mwenyewe yuko wapi? Kikawaida ndiyo chanzo. Ila kama yeye ni gogo sawa.
Kwahiyo binti anashutumiwa kulala na gogo? Kisheria hayupo kwenye kesi. Hapa anauliza mume mwenyewe yuko wapi? Kikawaida ndiyo chanzo. Ila kama yeyw ni gogo sawa.