Mmasai na chupi

Amina Thomas

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
272
129
Jamaa wa kimasai alinunua chupi kwa mara ya kwanza (wenyewe wanaita sox ya ******). Alipokua town, akabanwa na haja kubwa. Basi akaingia toileti, alipomaliza haja yake akatoka zake na kusahau chupi ambayo alikua ameitundika mlangoni. Alipofika nje akawa amekaa kihasara akiwa na nia ya ku show off chupi yake mpya. Basi watu wakawa wanapita na kumshangaa mmasai kwa kitendo cha kukaa uchi. Kwa kua yeye alijua amevaa, akamwambia jamaa aliekua anashangaa 'rafiki, nasangaa hii,! Ile naacha kwa sanduku nyumbani ndio musuri saidi ya hii'.
 
Mwingine juzi kwenye maadhimisho ya miaka 45 ya JWTZ alisema " nakuja angalia hii vitu ya jeshi mm shaona vitu vinging lakina bado ona ile inayoleta fita napigana sana huko juu mimi bado ona hiyo. - Akimaanisha bado hajaona ndege ya kivita
 
ROFLMAO.............!! Wamasai ujue ni watu wa ajabu sana, kuna,kipindi nilienda kusuka maeneo ya Amana vijana center , kuna wamasai wengi wanasuka mitindo yao ya kimasai. Wakati ananisuka huyo mmasai, ikafikia kipindi nigeuke uso wangu uangalie upande wake, kumbe alikuwa hajavaa chupi. basi nilikuwa nacheka ndani kwa ndani, mwishoni nikashindwa kuvumilia, nikamwambia baba yoyo kaa vizuri na ushushe hilo shuka lako chini. Nadhani mwenye aligundua nina maanisha nini, then akajirekebisha.
 
UMefulia ,Mtu mzima ovyooooooooooo!!!!!
 
hili la msichana mrembo,msafi.kukaa na wamasai wachafu kisa tu usukwe linasikitisha
 
hujawatendea haki hawa wajasiriamali wa wamasai kwa kuwaita wachafu,inawezekana ulishakutana na mmoja mchafu lakini hiyo isiwe sababu ya kuchukulia jumla kuwa wote ni wachafu sio haki,huku arusha tunao wengi tu wasafiiiiiiiiiii wanafanya hiyo shughuli,
labda kama ulikuwa unatania,ula angalia maneno uliyotumia akina saikon wasikushukie
 
Kaka Saikon Nokoren, kumbuka upo kwenye forum ya Jokes/ Utani / Udaku/ Gossip,
dont take issues personaly
 
ROFLMAO.............!! Wamasai ujue ni watu wa ajabu sana, kuna,kipindi nilienda kusuka maeneo ya Amana vijana center , kuna wamasai wengi wanasuka mitindo yao ya kimasai. Wakati ananisuka huyo mmasai, ikafikia kipindi nigeuke uso wangu uangalie upande wake, kumbe alikuwa hajavaa chupi. basi nilikuwa nacheka ndani kwa ndani, mwishoni nikashindwa kuvumilia, nikamwambia baba yoyo kaa vizuri na ushushe hilo shuka lako chini. Nadhani mwenye aligundua nina maanisha nini, then akajirekebisha.

Pretty wewe ungelidaka hilo boriti na kulitia mdomoni halafu mambo yangekuwa swafiii....
 
Back
Top Bottom