BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Ajali nyingi zinasababishwa na madereva wasiostahili kuwa barabarani kwa kuwa hawana leseni, hawaoni vizuri n.k. Halafu Askari wa barabarani nao wameweka mbele rushwa badala ya kuhakikisha usalama wa Watanzania barabarani. Matokeo yake wakishapewa takrima yao basi wanamuachia dreva asiyestahili kuwa barabarani au gari lisilokuwa na hadhi ya kuwa barabarani.
Tumvaline njuga Waziri wa mambo ya Ndani L. Masha na wizara yake ili wapunguze ajali za barabarani ambazo zimeua na zinaendelea kuua WaTanzania wengi wasio na hatia.
Tumvaline njuga Waziri wa mambo ya Ndani L. Masha na wizara yake ili wapunguze ajali za barabarani ambazo zimeua na zinaendelea kuua WaTanzania wengi wasio na hatia.