mhhhh umemtolea uvivu First lady wetu leo....
Kama suala ni kuleta habari bila accuracy basi tuendelee; contrary mnamuonea bure FL, yeye alitaka clarification. ndio maana wa TZ mnaingia kwenye mikataba ya hovyo kwa kuto read between the line kwa kutaja MTO na Korongo la KM 50 vinatosha kabisa kwa MTU MAKINI kuwa na wasiwasi wa habari yenyewe BRAVO FL
Hivi wewe mleta habari unaijua barabara ya kwenda MWANZA?sasa hapo shelui kuna mto gani?
mhhhh umemtolea uvivu First lady wetu leo....[/QUOTE
Kwa MK 50 na mto inatosha kabisa kupoteza muelekeo wa habari.
FUTA NA HIYO
Kama suala ni kuleta habari bila accuracy basi tuendelee; contrary mnamuonea bure FL, yeye alitaka clarification. ndio maana wa TZ mnaingia kwenye mikataba ya hovyo kwa kuto read between the line kwa kutaja MTO na Korongo la KM 50 vinatosha kabisa kwa MTU MAKINI kuwa na wasiwasi wa habari yenyewe BRAVO FL
mhhhh umemtolea uvivu First lady wetu leo....[/QUOTE
Kwa MK 50 na mto inatosha kabisa kupoteza muelekeo wa habari.
FUTA NA HIYO
Unamaana gani MK 50?
Unamaana gani MK 50?
Samahani sana ni ligue ipi nimetaka kuianzisha?kwanza nilifikiri ni jokes maana kuambiwa basi limetumbukia mtoni ilhali hakuna mto ni utata tayari!Tatizo umezoea kumeza tu!jaribu kudigest!Kwanza toa pole basi,
Maana si utamaduni wetu watanzania, sidhani kama kuna mtu anaweza kuja hapa na taarifa kama hii isiwe na ukweli. Unachopaswa kujua ni kuwa FL yeye alitaka kuanzisha league wakati central theme hapa ni basi kupata ajali na kuua na kujeruhi watu. Sasa limeuaje na ajili imetokeaje hayo ni masuala ya kiusalama wa barabarani.
Kumbuka hii ni "breaking news", kuna watu wamepoteza maisha na si ajabu wengine wamepoteza viungo vyao, sasa wewe unapotaka kuleta utani kwenye mambo kama haya tunakuona kama unavuka mstari au something is wrong
[/COLOR]
Hata kama hajui si amekuletea habari na umejua nini kinaendelea?? Na hao wanaojua si wameshakuelekeza zaidi au unataka kuleta malumbano yasiyo na misngi?? Kani ungekaa kimya ni nani angekucheka au ungekatika sikio?? Grow up na ujenge tabia ya kushukuru pale unapoletewa habari.
Samahani sana ni ligue ipi nimetaka kuianzisha?kwanza nilifikiri ni jokes maana kuambiwa basi limetumbukia mtoni ilhali hakuna mto ni utata tayari!Tatizo umezoea kumeza tu!jaribu kudigest!
Samahani sana ni ligue ipi nimetaka kuianzisha?
kwanza nilifikiri ni jokes maana kuambiwa basi limetumbukia mtoni ilhali hakuna mto ni utata tayari!
Tatizo umezoea kumeza tu!jaribu kudigest!
Kama unapata BBC Swahili basi sikiliza hapo kuna mahojiano yanaendelea kati ya kamanda wa pilisi mkoa wa Singida bibi Selina Kaluba na Abdalah Majura utapata usahihi wa hayo unayoyataka maana hata huyo kamanda wa polisi anasema limetumbukia kwenye makorongo na kulikuwa na maji na gari wakati linatumbikia lilikuwa linaparamia miti na kazi ya kuwaokoa majeruhi ilikuwa ngumu sana kiasi kwamba ilibidi watumie gesi kukata sehemu kazaa za basi hilo ili kuwafikia majeruhi, na waliokufa ni 15, na majeruhi wamekimbizwa hospitali ya wilaya ya KIOMBOI kulee kwa 'wanyiramba'.
Yaani hapa nilimaanisha mtu unameza tu!yani hakuna digestion itakayofanyika !Hii ndiyo league uliyotaka kuanzisha (Bonde ni mto ama la?).
hatuwezi kuelewana!Rudi kwenye post ya mleta habari!
Kwani habari ilikuwa kwenye thread ya jokes?,
habari ikishakuwa na utata lazima kuwe na maswali ya kujiuliza
huwezi kudigest kabla ya kumeza kwanza