babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,939
- 20,231
Hii sio dawa, tunaweza kuchukua chumba tofauti kisha usiku tukanyatiana kama kawa, asubuhi tukiammka tunaamkia kila mtu chumba chake.
[/img]View attachment 10359View attachment 10360
ok ni sawa lakini kwa hapa ataishia kulala yeye na mkewe sie tutaenda guest nyingine pole yake.
Hiyo si ajabu, kwa waliofika pemba kuna hotel maarufu ina itwa Pemba Highland,ina masharti kama hayo, hurusiwi kuingia hotelini mwanamke na mwanamme kama hamna vyeti vya ndoa, mwenyewe si mlokole ni mwislam haswa wa sala tano.
Nadhani ni katiaka kutaka kurejesha maadili mema ktk jamii..
Hii sio dawa, tunaweza kuchukua chumba tofauti kisha usiku tukanyatiana kama kawa, asubuhi tukiammka tunaamkia kila mtu chumba chake.