Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,157
- 137,181
Nasty bitch.
askofu na nabii - WEWE MTU HUYOHUYO MMOJA ......? UMESHINDWA KUWAPATA HUKO MABARABARANI SASA UNATULETEA UTAPELI WAKO HUMU.
Hizi story huwa ni za kutunga ajili ya kutumika katika ushuhuda.ni marketing strategy ya wachungaji kuvuta wateja.
Kama alinyweshwa damu ya hedhi akiwa mbinti mwishoni anataja mmewe.lini kaolewa hapo?
fafanua vizuri mkuuSitaki kuamini sababu damu ya hedhi ni sumu mbya mno,tone moja tu linaondoa uhai wa mtu
Machoni kama watu
Mioyoni hawana utu
Imani imetoweka
Mabaya yanaongezeka
Mkuu Matola Mbona unazungumza maneno ya Pumbe?Kwani hii Global Publishers ni Waislam? na huyu Eric shingongo ni Muislam?mbona unazungumza kama vile umekunywa pombe umelewa unazo akili kweli timamu wewe? samahani kama nitakukwaza.Mkuu labda wewe ndio mgeni kwa MziziMkavu, mwenzako hapo yupo kwenye Jihad kutimiza sunna za mtume, hizo hadithi za kusadikika zingemuhusu Sheikh wala asingezileta hapa. Hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye anategemea source ya habari kwake iwe ni Global Publishers, ukimuona mtu wa aina hiyo basi ujuwe upstairs empty.
Hizi story huwa ni za kutunga ajili ya kutumika katika ushuhuda.ni marketing strategy ya wachungaji kuvuta wateja.
Kama alinyweshwa damu ya hedhi akiwa mbinti mwishoni anataja mmewe.lini kaolewa hapo?
Alijuaje kama watu watakuwa na mashaka mpaka atoe namba..ajipangeBibie Penelope History ya ukweli kama unataka kuamini jaribu kupiga simu hii namba muulize huyo bibie (Ester aliomba nitoe namba yake ili mwenye mashaka azungumuze naye. Namba yake ni 0713618820)