Mlokole aliyeifedhehesha weekend yangu...

Ndachuwa na kwa sasa imekuwa ngumu kutambua muumini wa kweli ni yupi,mungu atusamehe
 
Last edited by a moderator:
FirstLady1,
Assumption yangu.
Mosi: that was just a random number picked to hear if there is a female voice on the other side. For that case, it was a wrong number.

Pili: huyo mtu ni tapeli, and he is trying to find a weak link ya kupenetrate his ideologies. Avoidg him.

Cha kufanya.
A. Block namba yake ili asikusumbue.
B. Save namba yake with the name 'mchawi' au 'tapeli' ili ujue siku akifanya mawasiliano na wewe, even after 3 months.
C. Since nina assume that he was dialling a random number, ianike hapa hiyo number, nasi tuirecord ili siku akipiga kwa wake zetu ijulikane he is on a mission.

For now!
 
Last edited by a moderator:
Duuuuuuuuuuuuuu,

FirstLady1, pamoja na kwamba ni kisa cha kuhuzunisha sana ila nimejikuta nacheka kama chizi. Pole sana dada yangu.

Hiyo ndiyo mitihani ya maisha!!

That's a typical devil in action,

Babu DC!!
Dark City

usijecheke Babu zaidi naomba nasaha zako za maisha
Hii dunia kuna watu walishadata long time.
 
Last edited by a moderator:

nimerudi kwako ubungoubungo
naomba uelewe subject yangu
nimesema mlokole na sikusema walokole ina maana naekewa kabisa wapo walio wasafi mbele za mungu na wapo wengine
wanaotawaliwa na nguvu za giza kama huyo niliyekutana nae mimi
Thank you in advance
 
Kwani na wewe ni mlokole? Umemtolea wapi huyo mpendwa maana wapendwa huwa wanavutiwa na wapendwa wengine na sio watu wa mataifa.
 

THANX Endangered kwa advice zako be blessed

Ila sijui ku block number labda unipe maelekezo
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa....hata mapepo nayo yanaomba na kunyenyekea.
Vifungu hivyo vinasihi watu waliompokea kristo kutambua roho wa ibilisi na roho wa Mungu.
Pia pale unapoonyeshwa hili suala unalipeleka kwa mchungaji au wazee wako wa kanisa but not kupiga simu hovyo kama mlevi..
NOTE:Mungu sio mhuni
 
Mawazo na ushauri uliopewa na wengi ni sahihi.
Labda niongeze tu akiendelea kukusumbua
utatoa ripoti polisi na kusambaza nambari
yake kwa vyombo vya habari na kwenye mitandao.
Pole sana!
 
THANX Endangered kwa advice zako be blessed

Ila sijui ku block number labda unipe maelekezo

Karibu FirstLady1,
sasa kwenye issue ya how to block inategemea na aina ya simu. but nimesahau codes kidogo,
Nikizipata nitakustua, meanwhile, naamini kuna wataalamu kwenye Tech forums watakuwa na mbinu zaidi ya 1000 za namna ya kublock.

Unaweza ask from there.

AMEN!
 
Last edited by a moderator:
Mzee akabakia anaguna tu huku mie nikiendelea kushangaa.
Huyu mlokole mbona ananiletea balaa mwenzenu.:nono:

Huyu sio mlokole ila anataka akuharibie ndoa huyu ili ukose utulivu, amani na upendo ya kula bata na mmeo.
 
Nishapata MBINU ya kuwapata vimwana..............Ahsante kwa Idea.............LOL Cantalisia asije soma hii maneno..........
 
Last edited by a moderator:
hii kali ila si wote wasemao bwana bwana wataurithi ufalme wa mbinguni. uwe makini siku hizi dini ni mwamvuli tu wa maovu tena ya ajabu
 
Nguvu ya kuoteshwa kwenye ndoto nikubwa mno, mie mwenyewe kuna mtu humu nimeoteshwa anigawie nyumba yake.
Na namba yake ya simu nimepewa ndotoni, inaanza na 076xxx12x0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…