Mlipuko watokea Ubungo-TANESCO, umeme wakatika!

Mlipuko watokea Ubungo-TANESCO, umeme wakatika!

Ground Zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
342
Reaction score
95
Nimepata taarifa kutokea kwa mlipuko kwenye mitambo ya songas. Mwenye taarifa zaidi atujuze
 
Wakati ninaingia Ubungo kutokea mkoani mida ya saa kumi na dakika harobaini kumetokea mlipuko kwenye kituo hicho cha Umeme.Wamekimbia mpaka wengine wakaacha mali zao.Nimejaribu kuongea na watu wanaofanya biashara hapo wamesema wamezoea.
Mbunge Mnyika watu wako siku moja wataungua na kubaki majivu.
 
Mmmm !!! Nashangaa huku ofcn kwetu umeme umekatika ghafla labda ndo sababu ...endelea kutujuza.
 
kweli hapo watz utaona marufuku daladala kupack pembeni ya Songas,wakati inajulikana ni hatari no one seem to care na imetokea jioni hii sasa palivyojaa abiria wengi sijui inakuwaje hapo, mlio jirani na ubungo tupeni data kamili ya tukio. ninaona moshi unafuka kwa mbali
 
kumbee!!
naona umeme umekatika maeneo mengi sana!!
 
Ngoja tusikilize taarifa ya habari saa 2 usiku. Mia
 
Ni Kweli.Niko Tanga but kuna kapigiwa simu hapa Tanga Beach akiambiwa kuhusu hiyo kitu
 
Including hapa nilipo ubungo!hakuna umeme!ngoja nsake life jacket!hivi za clouds radio washatoa?make lol
 
Kuna tetesi kuwa Ubungo TANESCO KUNAWAKA MOTO.....jAMANI MWENYE TAARIFA ATUJUZE
 
Basi nkajua wamekata umeme ili tusione live bungeni,
hata huku kwa jamaa yangu maeneo ya mabibo umeme umekatika! looooooo!
 
Huku tabata ulikatika toka usiku , umerudi kidogo halafu ukakatika tena.
 
Niko kahama mkuu umeme umekatika muda kama wa saa 11 jioni hii na bado haujarudi
 
NIKWELI, transforma limelipuka pale Ubungo!,
Ndo tushalala giza hivyo!
 
Back
Top Bottom