Bilal bin Rabah
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 254
- 85
Habari zolizotufikia hivi ni kwamba mtu asiyejuilikana amerusha bomu na kumuuwa muhadhir mmoja kutoka Tanga ambae yupo Zanzibar kwa ajili ya Jitimai.Kwa mujibu wa Kamanda wa mkoa waMjini Magharibi wahadhiri hao walikua wanatoka msikitini Darajani katika sala ya Isha wakati wanaelekea katika magari yao ndio yakaawakuta maswahibu hayo.Wahadhiri wengine saba wamejeruhiwa wapo hospital ya Alrahma kwa matibabu.
Alshabab kazini
Nafikir polis wmeshindwa kuthubit masuala haya ya mabomu.
Wanasuburi hadi taarifa za kiinterejisia zipatikane ndo wachukue hatua wkt huo wanachi tumeshalipuliwa na kufa.
Habari zilizopo ni kwamba, mabomu yametupwa na watu wasiojulikana eneo la Darajani, Zanzibar na kuua mtu mmoja mpaka sasa na wengine 4 ni majeruhi.
Habari za awali ni kwamba waliotupiwa mabomu hayo ni baadhi ya viongozi wa dini ambao walikuwa wametoka msikitini kutoa mawaidha na wakati wanatoka na kuingia kwenye gari lao ndipo mtu asiyejulikana alitupa bomu hilo (inasemekana ni zaidi ya moja).
Habari kamili nikipata zaidi nitawajuza.
========
More:
Mkuu mbona unachanganya mada soma uzi vizuri maudhui yake ndipo uchangie,sio kila kitu ni siasa.Muungano bado upo, sarakasi; ukivunjika itakuwaje? Na bado. Waumini wa muungano tunasema utadumu tu ili kuwalinda ndugu zetu wazanzibari wasio na hatia. Kina jusa ni wa kupuuzwa.