Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

Mlipuko ulisababishwa na kombora kutoka nje?

Hayo nayo yamezidi na ni hatari kama mabomu ya Gongo la Mboto
 
Haliwezi kuwa shambulio toka nje,hamna anyenufaika nalo hata kama ndo hivo rada zingeona na mabaki y a kombora lilopiga lazima lionekane hapa kuna ama ajali au HUJUMA.
Issue ya kwamba wanajeshi hawakufa siamini sana hata kama wanajeshi wanajua namna ya kuepuka na madhara hayo na yaonekana mabomu yalikua yakifyatuka na kwenda kuharibu mbali na hapo.tatizo tungeambiwa mabomu aina gani je ni handgruneti,mortar ama katyusha.maana yaonekana kaa milipuko ya risasi tu.
Kwa kombora la ukweli hiyo kambi ingebaki jivu
 
Inawezekana ni wale walokole wa kujitoa mhanga ,pameonekana mkono kwake,moyo kwake na hata mfuko wa kipolo upo pembeni,huwezi kujua !
 
Inawezekana ni wale walokole wa kujitoa mhanga ,pameonekana mkono kwake,moyo kwake na hata mfuko wa kipolo upo pembeni,huwezi kujua !

umeshamaliza mafunzo ya martyrdom ..... Osama yupo wapi ...?
 
Huu uzushi unaenea kwa sababu hatujapewa taarifa rasmi ni nini kimetokea hadi mabomu yakalipuka, ndio maana kila mtu anakuja na habari yake.
 
Huyu jamaa wa ajabu sana,kaanzisha thread kwamba "Tetesi:silaha ziliibwa Uganda"
acha kujaza forum na umbea wako bana leta kitu cha maana hapa
 
mkuu kitu kinapoanguka bado tunasema kina accelerate?kama nilimuelewa vizuri mwalimu wangu wa physics form 2 B, basi hapo juu itakua deceleration(-ve acceleration) na sio acceleration.kama principles zimebadilika sio mbaya ukanikumbusha kwani nimesoma zamani kidogo.

A free falling object falls with an acceleration of 10m/s2. It is a positive acceleration.
 
A free falling object falls with an acceleration of 10m/s2. It is a positive acceleration.

9.8m/s2 approx 10m/s2 is pure gravitational force .... this is typical scalar
 
Inawezekana tushawahi kutuhumiwa na UN kuuzia Congo DRC silaha. Lisemwalo lipo na JF ina source za kila aina. Kikubwa serikali itoe tamko. Hivi kila mtu atasema lake.
 
Kuhusu mabomu kulipuka ilikuwa inajulikana kabisa, ingawa walishindwa kuwa taarifu watu wote kwani ingejulikana kwamba walijua na hivyo walifanya uzembe....

Nashawishika kukubaliana na wewe kutokana na maswali mengi ambayo hayana majibu. Kwanini hamna mwanajeshi aliyekufa, mbona viongozi nyuso zao hazionyeshi ku-panick/shangaa/shtuka kama nyuso za wananchi wengi zilivyo. Inawezekana kabisa walijua kitakachotokea lakini either hawakujua the magnitude, au hawakuweza kuzuia kutokana na uzembe fulani. Kama kiongozi anakuwa na confidence kwamba hakuna threats ndani au nje ya nchi, that means anayo idea au taarifa kuhusu what went wrong that day. Theory zinakua nyingi kwasababu tunawababaishaji kwenye kila sekta, tume zinazoundwa nazenyewe zinaleta bla bla. Tungekuwa na watu makini watakaofanya upelelezi makini kusingekua na lots of theories.
 
Inawezekana ni wale walokole wa kujitoa mhanga ,pameonekana mkono kwake,moyo kwake na hata mfuko wa kipolo upo pembeni,huwezi kujua !

Watu wengine akili zenu huwa mnaziweka makalioni sijui,....
Siku ya mabomu naamini ulilala katika shuka zuri,ulilala usingizi mnono,na kama unawatoto walifurahia siku iliyo fuata kwa kwenda shule.
Wenzako Gongo la mboto wame fariki,hakuna kati yao aliye jua hiyo ndo ilikuwa siku yao ya mwisho,....

Me nilidhani tunajifunza kujiandaa na lolote kwa mda wowote,kumbe wewe kuto kuwepo katika orodha ya watu walio kufa ni ushindi kwako?
Unadhani ume mpa Mungu rushwa akukinge na maafa kama haya?

Eti,..."pameonekana mkono kwake,moyo kwake na hata mfuko wa kipolo upo pembeni"
hivi unadhani huyo mama hakuwa na watoto au ndugu ambao wana mlilia kwa sasa?
Unadhani alijua moyo na kila kitu chake kita tenganishwa?

Kama kuna watu wapumbavu kama wewe basi Tanzania inahitaji maombi ya nguvu sana......hongera kwa kujidai kufurahisha wapuuzi wenzako na ujinga kama huo huku uki pumbaza akili yako na kumkufuru Mungu
 
Huyu jamaa wa ajabu sana,kaanzisha thread kwamba "Tetesi:silaha ziliibwa Uganda"
acha kujaza forum na umbea wako bana leta kitu cha maana hapa

lakini tusipuuze kila jambo humu.....JF ina watu wa aina nyingi.....je kama yeye alihusika kuyapeleka huko yalikouzwa unajuaje?....au ni mmoja wa wanunuzi.....stuka meku
 
Inawezekana ni wale walokole wa kujitoa mhanga ,pameonekana mkono kwake,moyo kwake na hata mfuko wa kipolo upo pembeni,huwezi kujua !

Inawezekana pia ni adhabu ya mola kutokana na nchi kuendeshwa kihuni huni, anasa zimezidi etc . Inawezekana mapigo mengine yanakuja maana lilianza Mbagala, then GW slowly tunaisha taratibu.
 
Huyu jamaa wa ajabu sana,kaanzisha thread kwamba "Tetesi:silaha ziliibwa Uganda"
acha kujaza forum na umbea wako bana leta kitu cha maana hapa

mimi nimeambiwa na mtu . Sina namna ya kujua ukweli. Ndio maana mimi mwenyewe nimeweka *tetesi*. Kama kila thread hapa JF zingewekwa na hard evidence , zingekua za kuhesabu.
 
Inawezekana pia ni adhabu ya mola kutokana na nchi kuendeshwa kihuni huni, anasa zimezidi etc . Inawezekana mapigo mengine yanakuja maana lilianza Mbagala, then GW slowly tunaisha taratibu.

kwani mungu yuko chama gani?
 
wakuu nilikua mbali sana na habari hizihizi nazipata juu juu tu,toka kwa wakazi waliopo Tanganyika, mpaka dakika hii sijui nini kilitokea na kwa sababu gani na pia ni watu wangapi wamepoteza maisha, poleni sana ndugu zangu watanzania hasa wafiwa na wahanga woote milipuko hiyo.
 
Sasa nimepata picha kamili kulingana na maelezo ya wale waliopata kuona hicho kitu kama kimondo:

1. Kuna mmoja humu (alikuwa Mbezi beach) alieleza kwamba yeye na wenzie waliona kitu kama kimondo kikipita kikiwa kinaelekea upande wa airport

2. Kuna mchangiaji mmoja alisema kuna mama mmoja mtu mzima (alikuwa makongo) aliona kitu kama kimondo kikielekea upande wa airport.

3. Kuna jamaa wa Ubungo msewe naye kasema aliona hicho kimondo upande kama inaelekea kutoka mbezi kwenda ubungo vile(kama sikosei)

4. Kuna mchangiaji mwingine naye alisema aliambiwa na muuza genge (alikuwa tabata segerea) kwamba aliona kinaelekea upande wa airport hivi kama wawili.

5. Mimi mwenyewe niliambiwa na watu kama watatu wote wakazi wa Msewe kwamba waliona kitu kikielekea upnande wa tazara vile kutokea upande wa mwenge(kwa mujibu wa maelezo yake.

Sasa nikiunganisha sehemu walizokuwa nikianzia na Mbezi beach, Makongo, Msewe na Segerea kwa vyovyote hiyo kitu kilitokea baharini huko maana Mbezi beach inakaribiana na bahari.

Hapo nashawishika kabisa kwamba kuna something kama uvamizi vile.

Huo ni kwa mtazamo wangu.
 
Kama ni meteorite (kimwondo) vipi ikatokea kiende kuanguka moja kwa moja katika compound ya kambi hiyo ya TPDF? Ni tukio la 'providence' lengo ni kuiumbua na kuishikisha adabu serikali ya JK kwa kuipa msukosuko?

Lakini hata hivyo kama ni kimwondo au man made missile (fired from the sea from a ship or submarine -- kulitakiwa kuwepo sauti moments before impact. Jee kuna watu walisikia hiyo sauti?

natumai UDSM kuna wataalamu wa masuala haya ya Astronomy na wanaweza kuitwa kwenda chunguza.

Ni mtazamo wangu tu, wakuu.
 
Back
Top Bottom