Japo mnamvamia mwanzisha hoja nadhani ni kwakuwa kasema 'Ni mara chache yeye kuchangia JF' ila nikiri kuwa huyu si raia wa kwanza kutoa kauli hii...
Ni mtu wa nne nasikia anatoa kauli hii, wa kwanza si member wa JF na nadhani hata haijui JF, alinifahamisha kuwa aliona kitu kama kimondo kikionekana kuelekea maeneo ya Tabata (yeye yupo Ubungo) na baadae kikafuatiwa na mshindo mzito, dakika kama 10 baadae ndo akasikia kuwa kuna milipuko ya mabomu. Mwingine yupo Njia Panda ya Segerea, raia mwenye kuuza genge maeneo hayo alisema almost kitu kilekile.
Hii kitu si ya kupuuza, vyombo vyetu vya usalama vijaribu kuangalia kama kulikuwa na shambulizi toka nje, inawezekana sana japo wengi mnapinga...
Bull, acha kueneza udini kwenye sensitive issues kama hizi mkuu
Sidhani kama kuna nchi yeyote yenye muda wa ku-attack Tanzania.

kikulacho ki nguoni mwako

Mkuu,Sidhani kama ni shambulizi mkuu...it can be a pure case of a meteorite fall. Hili ni tukio la kawaida kisayansi. Sidhani kama kuna nchi yeyote yenye muda wa ku-attack Tanzania.
Mkuu,
Dhamira yangu ni kuwafanya watu wafikirie kwa mapana, well, twaweza dhania 'hatuwezi shambuliwa' lakini nalo baadae likaja jirudia kwa Lugalo kupigwa na the same 'kimondo style' na tukapuuza kuwa tunaendelea kuunda tume etc...
Kuna hilo la 'meteorite fall' nakubaliana nawe mkuu, JWTZ hawatakiwi kupuuza maoni ya wananchi walioona vitu vyenye mwelekeo huu, badala ya kuandikwa habari za kupikwa vikipatikana vifaa vya ku-detect incidence ilitokeaje basi wakijua kuwa wananchi waliona na hili linaweza kutupa conclusion moja nzuri sana, aidha ni pigo la kulengwa, manake tunawalipizia maadui ama ni pigo toka kwa Mungu ili tubadilishe silaha zetu!
Ni hayo tu mkuu
Mara nyingi hata baada ya forensic investigation, after facts zinabaki kuwa siri kwa nchi yetu kwenye tukio kama la Jpili.
True. Lakini itakuwa kitu cha kubahatisha kweli kama ni meteorite. I think it's fascinating kama ni hivyo. Sasa sijui kama bado watu watalia kuwa Mwinyi na wengine wa-resign ikija kujulikana kuwa na 'Act of God' au hata ya adui.
Ni kweli kabisa, sie tupo Ubungo Msewe na tulikiona hicho kitu ila kilikuwa na mkia tofauti na pia kiasi fulani ulikuwa siyo wa kawaida. Baada ya hapo tukaanza kusikia milio tukajua ni Radi, kama dkk 5 bdae ndio tukajua kuna mabomu yanalipuka.
Ila labda lilikuwa ni bomu la mwanzo mwanzo kulipuka, nahisi hivyo,cjui
True. Lakini itakuwa kitu cha kubahatisha kweli kama ni meteorite. I think it's fascinating kama ni hivyo. Sasa sijui kama bado watu watalia kuwa Mwinyi na wengine wa-resign ikija kujulikana kuwa na 'Act of God' au hata ya adui.
Kwa nini wa-attack sehemu moja alafu wakae kimya? Au tukae mkao wa kusubiri attack nyingine. There is a simple and plausible explanation nimeweka hapo. Ghala limeangukiwa na meteorite. Especially kutoka kwa post ya Invisible...watu kadhaa wamedhibitisha kuona mwangaza angani kabla ya huo mlipuko. Angalia hiyo video uone hali kama haiendani na huo uthibitisho.
Sasa mkuu nikuulize...True. Lakini itakuwa kitu cha kubahatisha kweli kama ni meteorite. I think it's fascinating kama ni hivyo. Sasa sijui kama bado watu watalia kuwa Mwinyi na wengine wa-resign ikija kujulikana kuwa na 'Act of God' au hata ya adui.
mkuu ...if this is the case , it is more than a coincidence and it will not be unfold or revealed unless again the Acts of God prevail