celincolyn
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 243
- 43
Hv ww ni mwanaumme au mwanamke? Jinsia tafadhali!!!!!!!!!!!Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?
Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?

Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?

Ukiangalia kwa undani sana kuna mapungufu katika habari hii,unakwenda kufanya ugaidi halafu unatumia vyombo vya usafiri vinavyokutambusha wewe ni nani),wakati kwa arusha kuna magari kibao ys kukodi au magari binafsi ya hao polisi,just thinking loud!

pumbaf zako. Hv wewe una roho au mavi. Unashabikia nn sasa hapa. Badala ya kusikitika kwa yaliyotokea unakurupuka na hoja from nowhere kama mwendawazimu! Tusilazimishane Ban kwa nguvu bwana. Lukosi unaboa mno! Mzxxh...
Guardian la leo 3/1/2014 limeriport habari hii, na inasemekana polisi ndio waliorusha bomu, na RPC Liberatus Sabbas amesema atatoa maelezo leo. Lakini daily news wala halijagusia habari hii. Tukio kama hilo limetokea Jtano, polisi wanataka kutoa taarifa Ijumaa, kweli hata taarifa za awali zinachukua siku mbili?
MLIPUKO TENA ARUSHA, JESHI LA POLISI WATUHUMIWA
Taarifa ambazo zimetufikia kupitia kituo cha WAPO Radio FM zinaeleza kwamba kuna bomu limelipuliwa kwenye kanisa katoliki la Mtakatifu Karoli, Ruanga huko USA River jijini Arusha, ambapo wanakwaya takriban 6 wamejeruhiwa.
Kwa mujibu wa taarifa hizo ambazo zimetufikia, zinaeleza kwamba watuhumiwa ni jeshi la Polisi, na kwamba walirusha kitu kinachosadikiwa kuwa bomu - lililojeruhi 6, ambapo 4 kati yao wameruhusiwa baada ya matibabu kwenye hospitali ya Mission na ya Wilaya ya Arumeru.
Majira ya saa sita na nusu, waumini walidai kuona gari la polisi likipita kwa kasi, na lilipowakaribia walistuka mlipuko ukiwarusha pembeni, ambapo walijikuta na majeraha na usoni, mapajani na maeneo mbalimbali ya mwili. Kisha baada ya hapo gari ilisogea mbele na kuanza kurusha mabomu kwa watu wowote iliokutana nao.
Hadi sasa inaelezwa kuwa uchunguzi umeshaanza kufanyika, huku Kamanda Liberatus Sabas akikataa kuzungumzia zaidi suala hilo. Alipotafutwa na WAPO Radio FM, hakueleza kwa kina, lakini akasema kuwa sio suala la kwaya kama ambavyo imeelezwa, bali ni wakinadada wawili na kwamba hawezi kuzungumza zaidi, bali kesho (Ijumaa) atatoa taarifa rasmi na iliyo kamili kwa vyombo vya habari.
Alipoulizwa kuwa kama ni kweli jeshi la Polisi linatuhumiwa kuhusika, alisema kuwa atazungumza kesho kuhusiana na tukio hilo. Tukio hili limetokea ikiwa ni siku mbili zimepita tokea kuapishwa kwa Inspekta Jenerali wa Polisi mpya, Ernest Mangu ambaye amechukua nafasi ya IJP Said Mwema aliyestaafu.
Source: Gospel Kitaa.
Sio magaidi wa kiislamu hao??sijaskia kauli hiyo up to this very moment haters
Jamani tusiwe wazushi kiasi hicho. Polisi...warushe bomu....hii haiingii akilini. Kinachofanyika, ni wahuni wanaolenga kuleta mtafaruku wa kidini wamebandika gari yao gundi nyeupe za maandishi ya polisi na kuamua kufanya uhuni huu. Ngoja tumsikie kamanda Sabas atasema nini na nakuhakikishieni kuwa wahuni hao watapatikana kwa udi ama uvumba...chezea Mangu wewe...
Mkuu tuzungumze ukweli!! Je kwa akili za wewe msomi unaweza kuamini Kuwa police wanahusika ???
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Ukiangalia kwa undani sana kuna mapungufu katika habari hii,unakwenda kufanya ugaidi halafu unatumia vyombo vya usafiri vinavyokutambusha wewe ni nani),wakati kwa arusha kuna magari kibao ys kukodi au magari binafsi ya hao polisi,just thinking loud!
Sasa hao wavuta bangi wanatuhusu nini sisi huku bongo!?
Au kwa sababu wazungu basi hata mavi yao mali!
Kule ni colorado na huku ni bongoland!!
Wacha kuwa mtumwa wa kiakili wewe! Hapa bado tunapigania CDM wapigwe chini 2014 ili hio GONGO isihalalishwe!
Halafu we unataka kutuletea habari ya bangi tena!!?
Huna adabu kabisa we kijana!
Wakati ule wa sungusungu mtu kama wewe tunapiga mikwaju ya viganja siku nyingine usiweze kuandika utumbo wa namna hii.