Mlipuko tena Arusha, jeshi la Polisi watuhumiwa

Mlipuko tena Arusha, jeshi la Polisi watuhumiwa

Acheni kula majani mabichi ni hatari kwa akili zenu,
yaani kuona gari tu ni polisi........... ongezeni na zenu walau kidogo.
 
Lakini walipomripua David Mwangosi walituma full identity, na hata RPC wa wakati huo, alipoendewa na waandishi wa habari kuwa yule ni mwandishi wa habari alifunga kioo na kutambaa. Habari hii haijakanushwa mahali popote!!. Hata hivyo magaidi wenye itikadi za kidini wanaweza kuigiza. Lakini polisi kushindwa kutoa taarifa kunatia shaka sana.
Polisi hawawezi kutumia full identity yao wakati wa kufanya jambo lililokinyume na sheria, fikiri vizuri wewe! Hizo ni propaganda za Jambazi na wenzake wameshakunywa gongo.
 
Kwa vyovyote itakavyokuwa polisi lazima wawatafute wahalifu waliohusika na tukio hilo kwa sababu hiyo ndiyo kazi ya kimsingi ya jeshi la polisi, na pengine waende mbele zaidi na kutujuza ni kwa nini kila kunapotokea mlipuko wa bomu basi ni Arusha, WHY????.
 
Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?

Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?

Acha uvivu: Gongo na haya wapi na wapi? Kwa hiyo mimi ambaye ninayesomeshwa na hela ya gongo unataka nikueleweje?
 
polepole waislamu mtatumaliza!

Itakayo kumaliza ni hio gongo ambayo hicho chama chako kinataka kuhalalisha!
Nusu yenu mmeshaanza kufa tayari. Cdm inachotaka kufanya ni kuwamalizia kabisa.

Halafu hilo jina lako KIRANGWA kwa kizaramo ni tusi kubwa sana mkuu!
Nikiandika hapa naweza kula ban!

Jaribu kubadili. Hata yesu hawezi kukupokea na jina hilo.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?

Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?
4.jpg
 
Back
Top Bottom