ifweero
JF-Expert Member
- Jun 12, 2013
- 7,957
- 1,341
Sera dhalimu za mbunge wa arusha mjiniarusha bana kama sudani kusini vile..

Wanaomwaga damu ya watz ni chadema. Waliua morogoro, arusha, iringa - mwangosi na bado wanaendelea.Serikali yetu inaendeshwa kwa kafara ya damu za raia, hapo jk anataka damu imwagike kwa wingi kabla hajamaliza mda wake,.
Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?
Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?
Wewe mfuasi wa slaa ndio mlevi wa gongo. Hapo umeharibikiwa ubongo haijahalalishwa, siku slaa akiihalalisha utaanza kuongea peke yako barabaraniWakati ulipochakachua rambirambi za Mwangosi ulilewa gongo?
Kabla hamjampa Mbunge zuzu kama lema nafasi haya yalikuwa yanatokea huko??yan nikiunganisha dots naona huyu pimbi ameigharim sana arusha,2015 chama chenu kisimamishe mtu mwenye weledi wa uongoz bora na sio kuleta wahun wahun wasio jitambua,Arusha mji mkubwa huo,hauwez ongozwa na akili ndogo hata siku moja,mbona moshi kwa mzee ndesa na hai kwa mbowe kuko salama tuh??hatuskii machafuko kama hayo,,Arusha achene ujinga msifanye makosa kama hayo 2015,sisemi muichague CCM la hasha,ila nasema chama chenu kisimamishe mgombea anaejitambua,sio hyu mnaemuita Min Kabaang,,,!
Sera dhalimu za mbunge wa arusha mjini
Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?
Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?
[h=3]MLIPUKO TENA ARUSHA, JESHI LA POLISI WATUHUMIWA[/h]
Taarifa ambazo zimetufikia kupitia kituo cha WAPO Radio FM zinaeleza kwamba kuna bomu limelipuliwa kwenye kanisa katoliki la Mtakatifu Karoli, Ruanga huko USA River jijini Arusha, ambapo wanakwaya takriban 6 wamejeruhiwa.
Kwa mujibu wa taarifa hizo ambazo zimetufikia, zinaeleza kwamba watuhumiwa ni jeshi la Polisi, na kwamba walirusha kitu kinachosadikiwa kuwa bomu - lililojeruhi 6, ambapo 4 kati yao wameruhusiwa baada ya matibabu kwenye hospitali ya Mission na ya Wilaya ya Arumeru.
Majira ya saa sita na nusu, waumini walidai kuona gari la polisi likipita kwa kasi, na lilipowakaribia walistuka mlipuko ukiwarusha pembeni, ambapo walijikuta na majeraha na usoni, mapajani na maeneo mbalimbali ya mwili. Kisha baada ya hapo gari ilisogea mbele na kuanza kurusha mabomu kwa watu wowote iliokutana nao.
Hadi sasa inaelezwa kuwa uchunguzi umeshaanza kufanyika, huku Kamanda Liberatus Sabas akikataa kuzungumzia zaidi suala hilo. Alipotafutwa na WAPO Radio FM, hakueleza kwa kina, lakini akasema kuwa sio suala la kwaya kama ambavyo imeelezwa, bali ni wakinadada wawili na kwamba hawezi kuzungumza zaidi, bali kesho (Ijumaa) atatoa taarifa rasmi na iliyo kamili kwa vyombo vya habari.
Alipoulizwa kuwa kama ni kweli jeshi la Polisi linatuhumiwa kuhusika, alisema kuwa atazungumza kesho kuhusiana na tukio hilo. Tukio hili limetokea ikiwa ni siku mbili zimepita tokea kuapishwa kwa Inspekta Jenerali wa Polisi mpya, Ernest Mangu ambaye amechukua nafasi ya IJP Said Mwema aliyestaafu.
Source: Gospel Kitaa.

mkuu si umesikia wananchi wamewaua watu watano waliokula hera za rambirambi utakapokuja Tanzania uwe na tahadhari.Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?
Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?
Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?
Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa
itakuwaje?[/QUOTE
......unauliza majibu? Kwani we unadhania Polisi wetu sio vichaa?
jiangalie wewe kama mfano wa polisi wetu uliyetimuliwa kwa wizi kisha
utajua kama ni wazima au la!
Siku wakilipue kwenu, uje hapa uandike hivyo ulivyoandika.... Rambirambi weeeKwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?
Hapo gongo haijaruhusiwa mnapost vitu kama hivi ikiruhusiwa itakuwaje?
[h=3]MLIPUKO TENA ARUSHA, JESHI LA POLISI WATUHUMIWA[/h]
Taarifa ambazo zimetufikia kupitia kituo cha WAPO Radio FM zinaeleza kwamba kuna bomu limelipuliwa kwenye kanisa katoliki la Mtakatifu Karoli, Ruanga huko USA River jijini Arusha, ambapo wanakwaya takriban 6 wamejeruhiwa.
Kwa mujibu wa taarifa hizo ambazo zimetufikia, zinaeleza kwamba watuhumiwa ni jeshi la Polisi, na kwamba walirusha kitu kinachosadikiwa kuwa bomu - lililojeruhi 6, ambapo 4 kati yao wameruhusiwa baada ya matibabu kwenye hospitali ya Mission na ya Wilaya ya Arumeru.
Majira ya saa sita na nusu, waumini walidai kuona gari la polisi likipita kwa kasi, na lilipowakaribia walistuka mlipuko ukiwarusha pembeni, ambapo walijikuta na majeraha na usoni, mapajani na maeneo mbalimbali ya mwili. Kisha baada ya hapo gari ilisogea mbele na kuanza kurusha mabomu kwa watu wowote iliokutana nao.
Hadi sasa inaelezwa kuwa uchunguzi umeshaanza kufanyika, huku Kamanda Liberatus Sabas akikataa kuzungumzia zaidi suala hilo. Alipotafutwa na WAPO Radio FM, hakueleza kwa kina, lakini akasema kuwa sio suala la kwaya kama ambavyo imeelezwa, bali ni wakinadada wawili na kwamba hawezi kuzungumza zaidi, bali kesho (Ijumaa) atatoa taarifa rasmi na iliyo kamili kwa vyombo vya habari.
Alipoulizwa kuwa kama ni kweli jeshi la Polisi linatuhumiwa kuhusika, alisema kuwa atazungumza kesho kuhusiana na tukio hilo. Tukio hili limetokea ikiwa ni siku mbili zimepita tokea kuapishwa kwa Inspekta Jenerali wa Polisi mpya, Ernest Mangu ambaye amechukua nafasi ya IJP Said Mwema aliyestaafu.
Source: Gospel Kitaa.
Nini Gongo? Colorado (USA) wameanza kuuza bangi rasmi kihalali toka jana
Watu wanajadili kwa mshtuko wewe unachafua
Issue ni kutafuta ukweli wa habari na sio kukashifu
Mwagito, sijakuelewa, unamlaumu mleta uzi au source yake? Kasema Wapo radio ndio wame-report hivyo! Hebu soma tena uzi!Kwa hiyo unataka kutuambia polisi wetu ni vichaa au?